Azniv Protingas
JF-Expert Member
- Oct 29, 2020
- 335
- 554
Anateua makadaTunahitaji katiba mpya kweli yeye anaamua tu moyoni mwake kama anavyopenda?
Uliza uambiweAnateua makada
Nimelipenda Jina la George JosephJaji George Joseph Kazi ameteuliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ataapishwa tarehe 28 Agosti, 2023 saa 8 Mchana Ikulu Zanzibar na wajumbe wa Tume hiyo. Uteuzi wake unaanza leo 24 Agosti, 2023.
Pia ameteua wajumbe mbalimbali wa tume hiyo; Jaji Aziza Iddi Suwedi, Ndugu Idrisa Haji Jecha, Ndugu Juma Haji Ussi, Ndugu Halima Mohamed Said, Ndugu Ayoub Bakar Hamad na Ndugu Awadh Ali Said.
Hajamteua sababu ya dini au minority kamteua kwa uwezo wakeDr. Mwinyi ni kiongozi fair sana, sioni ajabu kumteua Mgalatia mwenzetu kwenye nafasi nyeti kama hiyo.
Acha kusifia wanaume wenzako,kwani huku bara watu wamekosa hadi uone huyo ndio anastahili vyeo tu.Nimelipenda Jina la George Joseph
Majina mengine ya Kizanzibari niliyoyapenda ni Issac Sepetu, Agustino Ramadhan, Charles Hilary, Adam Mwakanjuki, etc!, kiukweli Dr. Mwinyi atatufaa sana huku, ili...
P
Ili.....??! MmmhNimelipenda Jina la George Joseph
Majina mengine ya Kizanzibari niliyoyapenda ni Issac Sepetu, Agustino Ramadhan, Charles Hilary, Adam Mwakanjuki, etc!, kiukweli Dr. Mwinyi atatufaa sana huku, ili...
P
Wacha ujingaaAhueni na minority nao wamekumbukwa katika nafasi za juu serikalini. Maana haiwezekani serikali yote imejaa watu wa imani moja pekee.
Muhimu tu katika maisha yake yote ya kuitumikia hiyo nafasi, kamwe asijaribu kuiga nyendo za Jecha Salim Jecha.
MalizaaNimelipenda Jina la George Joseph
Majina mengine ya Kizanzibari niliyoyapenda ni Issac Sepetu, Agustino Ramadhan, Charles Hilary, Adam Mwakanjuki, etc!, kiukweli Dr. Mwinyi atatufaa sana huku, ili...
P
Siyo jecha wa Dr. Shein, Jecha ni jina common sana visiwani kama Maganga kwa wasukuma.Jecha karudi tena kwa mlango wa uwani.
.Nimelipenda Jina la George Joseph
Majina mengine ya Kizanzibari niliyoyapenda ni Issac Sepetu, Agustino Ramadhan, Charles Hilary, Adam Mwakanjuki, etc!, kiukweli Dr. Mwinyi atatufaa sana huku, ili...
P
Akiri za namna hii hazina mchango kwenye maendeleo ya nchiAhueni na minority nao wamekumbukwa katika nafasi za juu serikalini. Maana haiwezekani serikali yote imejaa watu wa imani moja pekee.
Muhimu tu katika maisha yake yote ya kuitumikia hiyo nafasi, kamwe asijaribu kuiga nyendo za Jecha Salim Jecha.