Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kila la kheri wateule wote katika utumishi wa umma 🔥Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu na Wenyeviti wa Bodi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, walioteuliwa ni:-
(i) Bw. Salum Nassor Mnuna ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA);
(ii) Prof. Esron Daniel Karimuribo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI); na
(iii) Bw. Paul Peter Olekashe ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI).
View attachment 3634410
Siyo wazanzibari hao.....Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu na Wenyeviti wa Bodi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, walioteuliwa ni:-
(i) Bw. Salum Nassor Mnuna ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA);
(ii) Prof. Esron Daniel Karimuribo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI); na
(iii) Bw. Paul Peter Olekashe ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI).
View attachment 3634410
Ni wapemba woteCv zao zikoje?
Ni mwendo wa waislam safari bila tone la aibu, mtamfanya nini? Hagombei tena, Samia ni bonge la mbaguzi kwa misingi ya uislam atawajaza kwl awamu hiiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu na Wenyeviti wa Bodi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, walioteuliwa ni:-
(i) Bw. Salum Nassor Mnuna ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA);
(ii) Prof. Esron Daniel Karimuribo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI); na
(iii) Bw. Paul Peter Olekashe ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI).
View attachment 3634410
TakbiiiiiirrrrTulijua tu, taasisi zote nyeti
Taasis zote nyeti wamekaa wapemba
Ujinga au viongozi kutoka Bara tatizo kwenye michongo tunapenda sana michango leo TRA wapo viongozi wakubwa kutoka Zanzibar makusanya yameongezeka kwa Trilioni 20Yaan watanganyika tumeonekana hamnazo kweny nchi yetu..alafu kuna viongoz kutoka bara hawaon huu ujinga unaofanyika
Takbiiiiiirrrr
Asili yenu ni mashambani huko , mkalime .Taasis zote nyeti wamekaa wapemba
Afadhali huwenda kilio chetu cha bei ya umeme kuwa juu kikaisha.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu na Wenyeviti wa Bodi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, walioteuliwa ni:-
(i) Bw. Salum Nassor Mnuna ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA);
(ii) Prof. Esron Daniel Karimuribo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI); na
(iii) Bw. Paul Peter Olekashe ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI).
View attachment 3634410
Kwani wazanzibari sio Watanzania?Siyo wazanzibari hao.....