Uteuzi: Salum Mnuna ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA

Uteuzi: Salum Mnuna ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA

Nchi hii mpinzani wa kweli ni Lissu tu, imedhihirika hivyo. Ikitokea kalambishwa utamutamu na kusaliti wananchi basi nchi hii vyama vya upinzani totally vitakuwa ni vijiwe vya kungojea teuzi pindi muda ukiwadia. Upigaji kuna unazidi kupoteza maana katika uchaguzi mkuu. Wananchi hawatahamasika kwenada kupiga kura. Itabidi uibuke mfumo mpya wa kupata viongozi wa kuongoza nchi, huu wa vyama kugombea kwenye uchaguzi mkuu unapoteza maana. Wabunge wawe wanapiga kura kuchagua Rais kutoka kwenye vyama vyao huko bungeni
 
Kuna Lissu na wengine wengi tu.
Tatizo WaTanganyika wengi wamesinzia... Ukiwaamsha sana wanakasirika!
 
😀 😀 😀Mbona unalia dogo ?

Kama kulia kwaajili ya Taifa langu ni sawa✍️

wenzetu wanalia timu yao ikifungwa tu👈

Tanzania tunashida kubwa ya rasilimali watu waaminifu 👈

ndiomana RAIS DK SAMIA SULUHU HASSAN analazimika kutafuta ikibidi kutokea Zanzibar👈

lengo kuzuiya Michongo ya kuibiwa Watanzania lengo lake ni safi kabisa✍️

Ndiomana natoa mfano wa TRA yasasa chini ya wazanzibar imefanikiwa pakubwa sana✍️

Sasa kuna kundi genge linafanya propaganda👈

iyonekana Sababu Eti ni Udini

au sababu Eti ni ukanda tu👈

sio msingi mkuu uhaminifu kwenye sekta za Umma 👈

MA DG kutokea Tanzania Bara lazima watafakari kwanini RAIS Dk Samia anavuka bahari kwa jicho lenye majibu sahihi✍️

Tanzania inajengwa na watanzania mkiwemo nyinyi wasomi wetu👈

lkn je mnawatendea wema watanzania
ifike wakati tuwe na aibu kwa matendo yatu👈

Uzalendo ni matendo yetu kwa Wananchiwetu tubadilike✍️
 
Cv zao zikoje?
Salum mnuna ni Mmoja ya wasimamizi wa mradi wa east Africa crude oil project (ecop), ni mtu mwenye usoefu na masuala ya mafuta, ameshafanya kazi katika wizara ya nishati, pia katika taasisi pbpa inayoshughulikia na uagizaji wa mafuta Kwa Tanzania. Ana uzoefu na hizo kazi Kwa iyo tutegemee neema.

Siyo wazanzibari hao.....
Alietoka si mlitwambia kuna kashfa kubwaa kwenye ununuzi wa Mafuta

Sasa leo mnashangaa kuwekwa kutokea Zanzibar👈

RAIS DK SAMIA yupo sawa kabisa kumaliza mzizi wa tatizo kwa kutuekea Boss kutokea
Zanzibar ✍️

Na iwe funzo kwa Wakurugenzi pengine 👈

Wajue wakiyumbatu tayali wapo ukingoni 👈

na wakuchukua nafasi zao wapo tayali ‼️

Uzalendo ni Matendo sio kuzaliwa Tanzania bara wapishe tu ✍️
 
Salum mnuna ni Mmoja ya wasimamizi wa mradi wa east Africa crude oil project (ecop), ni mtu mwenye usoefu na masuala ya mafuta, ameshafanya kazi katika wizara ya nishati, pia katika taasisi pbpa inayoshughulikia na uagizaji wa mafuta Kwa Tanzania. Ana uzoefu na hizo kazi Kwa iyo tutegemee neema.

Mungu amuongeze hawe na mwisho mwema kwenye
shirika la umma 🙏🙏

zaidi Mungu ampe uzalendo kuwafikiria Wananchi
wakawaida Ameen🙏🙏
 
Naongezea ma DG wkt wa msoto umewakalibia👈

Mafanikio ya TRA ni mwanga mpya kwa Taifa 👈

nayinyi mfanye kazi kwa weledi mkubwa tunataka mabadiriko ya utendaji kwa alaka

Muache usingizini chapeni kazi kwa malengo makuu kumtumikia Mtanzania Masikini✍️
 
Hiki ndio kitu anaweza kufanya kuliko kutetea watanganyika. Na inaoneka yuko tayri kufanya kila wakati. Daaaah udini ewura.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Tulijua tu, taasisi zote nyeti - from Zanzibar with love!

Kama anamuona ni mchapakazi, kwa nini asimpeleke Zanzibar Utilities Regulatory Authority (ZURA)? Zanzibar waliamua kujitoa EWURA, kwa nini tuwe na mtu wa Zanzibar ku manage EWURA ya bara?

Hivi hawa viongozi hawaoni uhalifu huu unaoendelea kila siku? Wanaona sawa tu?
Huu ndio ukweriiii in JPM VOICE,

Tanganyika tunaendelea kubanangwa na kutindinganywa ni lini WATANGANYIKA TUTAONDOKA KWENYE HILI JINAMIZI LA HUU MUUNGANO

R.I.P hamfrey polepole
 
Halafu jamaa sio mpemba kwanza ni mtu wa bara. tuacheni hizo habari za kidwanzi za dini ndio maana mimi huwa siamini dini naona ni michezo tu ya watu walikaa wakaziunda Mungu hajaleta dini na hataleta
 
Back
Top Bottom