CV za nini? Uchawa graph 📉📈 ikiwa juu teuzi, ikishuka tenguziCv zao zikoje?
Kuna Lissu na wengine wengi tu.Nchi hii mpinzani wa kweli ni Lissu tu, imedhihirika hivyo. Ikitokea kalambishwa utamutamu na kusaliti wananchi basi nchi hii vyama vya upinzani totally vitakuwa ni vijiwe vya kungojea teuzi pindi muda ukiwadia. Upigaji kuna unazidi kupoteza maana katika uchaguzi mkuu. Wananchi hawatahamasika kwenada kupiga kura. Itabidi uibuke mfumo mpya wa kupata viongozi wa kuongoza nchi, huu wa vyama kugombea kwenye uchaguzi mkuu unapoteza maana. Wabunge wawe wanapiga kura kuchagua Rais kutoka kwenye vyama vyao huko bungeni
😀 😀 😀Mbona unalia dogo ?
Salum mnuna ni Mmoja ya wasimamizi wa mradi wa east Africa crude oil project (ecop), ni mtu mwenye usoefu na masuala ya mafuta, ameshafanya kazi katika wizara ya nishati, pia katika taasisi pbpa inayoshughulikia na uagizaji wa mafuta Kwa Tanzania. Ana uzoefu na hizo kazi Kwa iyo tutegemee neema.Cv zao zikoje?
Alietoka si mlitwambia kuna kashfa kubwaa kwenye ununuzi wa MafutaSiyo wazanzibari hao.....
Salum mnuna ni Mmoja ya wasimamizi wa mradi wa east Africa crude oil project (ecop), ni mtu mwenye usoefu na masuala ya mafuta, ameshafanya kazi katika wizara ya nishati, pia katika taasisi pbpa inayoshughulikia na uagizaji wa mafuta Kwa Tanzania. Ana uzoefu na hizo kazi Kwa iyo tutegemee neema.
SALUM MNUNA - Africa Mining Hall of Fame : AMHOF
SALUM MNUNA ?? ?? Mr. Salum Mnuna is an Energy PPP Specialist with over 12 years of experience of private banking and public sector in East Africa infrastructure investment, and he has conducted investment analysis, Negotiations, project management, government shareholding participation, and...amhof.africa
Takbiiiiiirrrr
Wewe ni mzigua lakin kutwa kushobokea wapembaAsili yenu ni mashambani huko , mkalime .
Naona unalia kijana , hatuwezi kutengana asili yetu tunaijuaWewe ni mzigua lakin kutwa kushobokea wapemba
Wapemba wamewawini sana waislam wa bara
We utaishia hv hv kupongeza wenzako na kulamba mataqo ya watawala vilazaa!Kila la kheri wateule wote katika utumishi wa umma 🔥
Huu ndio ukweriiii in JPM VOICE,Tulijua tu, taasisi zote nyeti - from Zanzibar with love!
Kama anamuona ni mchapakazi, kwa nini asimpeleke Zanzibar Utilities Regulatory Authority (ZURA)? Zanzibar waliamua kujitoa EWURA, kwa nini tuwe na mtu wa Zanzibar ku manage EWURA ya bara?
Hivi hawa viongozi hawaoni uhalifu huu unaoendelea kila siku? Wanaona sawa tu?
Nani hao?Asili yenu ni mashambani huko , mkalime .