Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Yote yanawezekananjaaa au wa kitengo
njaaa au wa kitengo
ngoja tukutafutie , ila alikuwa Team JiwePicha tafadhali!
Nafikiri angalau hiyo ndio size yakeKabla ya kupelekwa kuwa RC Kilimanjaro, Ndugu Kigaigai alikuwa Katibu wa Bunge la Tanzania, akichukua nafasi ya Kashilila.
Wiki iliyopita aliondolewa kwenye Ukuu wa Mkoa , lakini leo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Shirika la Utangazaji (TBC).
Tunamtakia kila la heri kwenye majukumu yake mapya.