Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Rais Samia Hassan amemteua Eric Benedict Iamissi kuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL). Kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA)
Pia, Stephen Nzohabonayo Kagaigai ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Anachukua nafasi ya Balozi Herbert E Mrango ambaye amemaliza kipindi chake.
Pia, Stephen Nzohabonayo Kagaigai ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Anachukua nafasi ya Balozi Herbert E Mrango ambaye amemaliza kipindi chake.