Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
ndioVikwazo.
Mufti wa Tanzania amemteua aliyekuwa RPC wa Dar es Salaam , Alhaji Suleiman Kova kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Maboresho ya BAKWATA .
Uteuzi huu umekuja kufuatia kujiuzulu ghafla kwa Mwenyekiti wa awali Sheikh Issa Othman , ambaye amefanya kazi hiyo kwa miezi mitatu tu , Sheikh Issa Othman ameachia ngazi kwa madai ya kukumbana na vikwazo vizito kwenye utekelezaji wa Majukumu yake .
Kila la heri Alhaji Kova
Alishirikiana na Paulo BomaniNdio maana tunasema BAKWATA ni tawi la kisiasa la chama Fulani ..Nyerere alitukosea Sana waislamu kutuundia dubwana..
Kwanini!?Vikwazo.
Kwani Kova sio muislamu!?Ndio maana tunasema BAKWATA ni tawi la kisiasa la chama Fulani ..Nyerere alitukosea Sana waislamu kutuundia dubwana..
Tena ni AlhajiKwanini!?
Kwani kova sio muislamu!?
SawaKwanini!?
Kwani kova sio muislamu!?
Tena ni Alhaji
😂Basi sawaTena ni Alhaji
Nyerere alifariki 1999, si mlivunje kama haliwafai!? Chuki zenu dhidi ya Nyerere huwa ziko wazi kabisa na hazina sababu!Ndio maana tunasema BAKWATA ni tawi la kisiasa la chama Fulani ..Nyerere alitukosea Sana waislamu kutuundia dubwana..
Hujui usemacho kwhy kausha ,Nina uhuru wakuongea lkn Sina uhuru baada ya kuongea.. Tusitiane majaribuNyerere alifariki 1999, si mlivunje kama haliwafai!? Chuki zenu dhidi ya Nyerere huwa ziko wazi kabisa na hazina sababu!
Tatizo la Waislam siyo Nyerere wala mtu yeyote nje ya Waislam wenyewe.
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Bakwata ni kikundi cha wahuni.
Kama yapo mengine uyajuayo funguka mkuu tutakulindaHujui usemacho kwhy kausha ,Nina uhuru wakuongea lkn Sina uhuru baada ya kuongea.. Tusitiane majaribu