Uteuzi: Suleiman Kova ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Maboresho ya BAKWATA

Je anaweza kufanya kazi yake bila vikwazo!
 
Sio waislamu!?
Au ndio unataka kusema waislamu ni wahuni!?

Heshimu dini za watu Dr Rutagwerera Sr πŸ™
Labda sikuweka vema mawazo yangu.
Naumizwa na jinsi Bakwata imekua ikiwahujumu na kulalamikiwa na waislam wenyewe. Ni walafi na wameshindwa kusimamia rasilimali vema kama taasisi zingine za dini.
Hapo ndiyo ilipo hoja yangu. Napenda nione wana thrive na kufanikiwa kama taasisi zingine za kidini.
Lazima kama taifa sote twende mbele. Wengine wakiwa wakiwa na nyumanyuma ni ulegelege wa mustakabali wa taifa.

Wala sikua ninakashifu waislamu.

I reckon am understood here mama D! 🀝🏾
 
All the best
 
Daah Mufti kateleza, Kova huyu huyu mzee wa kamba?
Alikuwa muingo zaidi ya Mambo sasa.
Sijui labda kabadilika lakini mmmh
 
Nyerere alifariki 1999, si mlivunje kama haliwafai!? Chuki zenu dhidi ya Nyerere huwa ziko wazi kabisa na hazina sababu!
Tatizo la Waislam siyo Nyerere wala mtu yeyote nje ya Waislam wenyewe.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Mwinyi alitaka kuvunja 1990s,mufti wa wakati huo hemed bin jumaa,akamwambia 'inaelekea Nyerere hakukwambia bakwata ni nini!'..mwinyi akawaambia waislam waanzishe taasisi zingine,uchaguzi wa mufti bakwata hujaa maafisa vipenyo ili akalie kiti anayeaminika, waislam ukiwaacha wakawa na umoja na bila kudhibitiwa wataiendesha nchi,wataweka rais wamtakae nk..ndiyo Imani ya 'wenyewe'
 
Kova amechomokea huku?πŸ˜…πŸ˜…
 
Hili linaweza kuwa kweli" wataweka Rais wamtakaye" hawa jamaa tuna wa understimate ila wana nguvu sana pesa na akili. Waislam mimi nawakubali sana kwenye mambo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…