Uteuzi: Suleiman Kova ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Maboresho ya BAKWATA

Kova jitu katili, leo eti mwenyekiti wa taasisi ya dini. Nimesema siku zote kuwa hakuna mufti wala askofu, zote ni takataka
 

Nimekuelewa mkuu

Kama waislamu wenyewe wanahujumu chombo chao cha Bakwata ni shida ya uislamu.
Ingekua wamehujumiwa wakawekewa viongozi wabudha, au wakristo, au wahindu, au wapagani ingekua shughuli
Lakini dini yao, chombo chao, viongozi wao
Warudi kwenye misingi ya imani watengeneze wanachotaka

Sie Wacha tushike jembe tukalime
 
Sheikh Issa Othman ameachia ngazi kwa madai ya kukumbana na vikwazo vizito kwenye utekelezaji wa Majukumu yake .[emoji3064][emoji848]
Migogoro ya upigaji!?
 
Kwani nani aliunda Bakwata? Hao ni Tiss
 
Kova na ujambazi na uuaji wake kumbe ni alhaji!
 
Mtu ana miaka 38 toka ametoka madarakani
Ana miaka 24 toka amefariki
Lakini mpaka leo bado mnalia lia badala ya kutafuta suluhisho. Hapo hamuoni kuwa ninyi ndio wenye shida !
Wayahudi mpk leo wanamlaani HITLER kuwatenda.
Sasa unashangaa nini waislamu kumlaumu laanatullahi nyerere kwa kuwawekea Chombo cha kuwadhibiti ambacho mpk leo kinasimamiwa na serikali?

We mgalatia Achana na waislamu watajijua kivyao.
Shughulika na wale wachungaji wanao lazimisha kina mama waje makanisani bila nguo za ndani.
Au wale wanaouza maji ya Azam chupa dola 100 wakidai ni ya upako na uzima wa milele.

Nyau wahedi
 
Mtu ana miaka 38 toka ametoka madarakani
Ana miaka 24 toka amefariki
Lakini mpaka leo bado mnalia lia badala ya kutafuta suluhisho. Hapo hamuoni kuwa ninyi ndio wenye shida !

CCM yake kwani imefariki lini?
 
Punguza kunywa Gahawa! Hayo maongezi ya Mwinyi na Mufti uliyasikia ukiwa eneo gani pale Ikulu? Chuki Chuki Chuki!
Kwamba Mufti au TISS wana uwezo wa kumgomea Rais wa nchi!!!??? Ujinga mtupu

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Afadhali umedhihirisha chuki zako.
NB: Chuki humuathiri mchukiaji na si mchukiwa.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…