Uteuzi: Suleiman Kova ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Maboresho ya BAKWATA

Nimefuatilia link iliyoambatanishwa na andiko lako. Imenipeleka kwenye ukurasa ambao unafundisha Biblia kwa mtazamo wa Islam.

Sikatai kuwa kila mwenye elimu anaweza kushirikisha uelewa wake kwa hadhira. Lakini mwalimu mbobezi wa Historia akapewa advanced class ya Biology, ni wazi utaona shida atakayoipata kufundisha kwa ufasaha.

Nipe wasaa naipitia link kisha nitarudi kujadili
 
Bora wabinywe kende na serikali hivyo hivyo wakiachiwa wanajilipua sana.
Nadhani serikali zote makini duniani zinawadhibiti vilivyo kwasababu ya mihemko na upotoshaji wa baadhi ya viongozi wao.

Wao kupandikizana chuki ni dakika 0 tu.
 
Mbona unaripuliwa kila siku, Hayo mabilioni yanayochotwa unataka ulipuliwe vipi tena?
 
Mbona unaripuliwa kila siku, Hayo mabilioni yanayochotwa unataka ulipuliwe vipi tena?
Kuchotwa mabilioni na kuishi kama sudani bora kipi??
Binafsi bora kuchota mabilioni tu ambapo ipo siku uongozi makini utadhibiti na sio kuishi kama Sudani kwa kuchinjana hadharani.
 
Kuchotwa mabilioni na kuishi kama sudani bora kipi??
Binafsi bora kuchota mabilioni tu ambapo ipo siku uongozi makini utadhibiti na sio kuishi kama Sudani kwa kuchinjana hadharani.

Basi msilalamike watu wakiinywa asali ,subirini tu hiyo siku ifike , huku mkiishi kwa mlo mmoja Kama Shetani
 
Si msubiri , makelele ni ya mchana usiku mtalala, kwa hali hiyo CCM itatawala milele
Acha itawale. Kutawala sio ishu, tatizo ni mfumo tu.
Ila wasiruhusu hao watu wajiongoze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…