1. Na sie wenye PhD za sayansi lakini hatuamini katika dini yeyote mtatuweka wapi? Au sisi sio watanzania???
2. Na sie wengine ambayo makabila yetu ni makabila kwa jina tu. Tumezaliwa Dar, lakini hatujawahi kukanyaga wazazi wetu walikotoka, achilia mbali kuweza kuzungumza lugha ya wazazi mtatuweka kundi gani??? Lakin tunazo hizo PhD za sayansi
3.Mbona katika hii issue ya udini huwa mnazungumzia waislamu na wakristu lakini ni nadra kuwasikia mkitaja, budha, sikh, etc? Hawa wapo tanzania, msidhanie tanzania kuna dini mbili tu!!! Acheni hizo. Mtaanza kusema, mbona hawa waislamu waliounda kamati hii ni suni peke yake, shia hawamo??? Acheni hizo!!
4.Hivi mbona mnakuwa vinara katika kushashabikia dini za wenzenu??? Eti mimi muislamu, eti mimi mkiristu, grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr. gademu!!! Mtabaki kushika mkia siku zote!!!!!!!!