The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Pamoja na kusifiwa sana, rais Mama kazidi. Jana, kwa kutumia viti kumi vya rais vya ubwete, alimteua mtu wake aka black box ya mama Angela Kizigha kuwa mbunge. SIyo huyu ambaye marehemu Magufuli aliamuru akamatwe kwa kuhujumu uchumi?
Ama kweli, Jiwe angerejea, angenasa nyani makofi. Kweli, paka akiondoka, panya hufanya sherehe na si ajabu ngozi ya simba kuliwa na panya.