The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Kwa sasa tujadili kwa facts kwa faida ya taifa;View attachment 3567016
Pamoja na kusifiwa sana, rais Mama kazidi. Jana, kwa kutumia viti kumi vya rais vya ubwete, alimteua mtu wake aka black box ya mama Angela Kizigha kuwa mbunge. SIyo huyu ambaye marehemu Magufuli aliamuru akamatwe kwa kuhujumu uchumi?
Ama kweli, Jiwe angerejea, angenasa nyani makofi. Kweli, paka akiondoka, panya hufanya sherehe na si ajabu ngozi ya simba kuliwa na panya.
Ni wewe au kivuli chako! Si ulisema JPM kafa kwa Covid!!!!!Kwa mujibu wa Polepole mtandao ndio uliommaliza magufuli
Wabongo kwa JealousView attachment 3567016
Pamoja na kusifiwa sana, rais Mama kazidi. Jana, kwa kutumia viti kumi vya rais vya ubwete, alimteua mtu wake aka black box ya mama Angela Kizigha kuwa mbunge. SIyo huyu ambaye marehemu Magufuli aliamuru akamatwe kwa kuhujumu uchumi?
Ama kweli, Jiwe angerejea, angenasa nyani makofi. Kweli, paka akiondoka, panya hufanya sherehe na si ajabu ngozi ya simba kuliwa na panya.
Ni kweli. Kwa watetezi wake ambao ni wanufaika, watajifanya hawajui makosa yake wakati kila kitu kiko wazi.Kwa sasa tujadili kwa facts kwa faida ya taifa;
Magufuli alisema.....
Mama Samia kamteua...
Facts za kuthibitisha makosa ya Angela Kizigha ni....
Hiyo itasaidia kutoa personal judgements za haki.
Magufuli alitoa zake, Mama Samia ametumia zake kuteua na sisi tutoe zetu baada ya maamuzi ya Samia kwa kutumia facts.
Tafuta nyuzi zake humu mkuu, ana mengi ya kusikitisha na kuhuzunishaAngela kizigha wana jf tunyetisheni;
1. Ana kipi spesho?
2. CV yake..!
3. Tiss...? (Idara pendwa?)
4. Why JPM x her and Samia✓
Pitia pitia nyuzi za nyuma na kuna clip kibao, nyuzi hiyo ya mwaka jana👇👇👇Kwa sasa tujadili kwa facts kwa faida ya taifa;
Magufuli alisema.....
Mama Samia kamteua...
Facts za kuthibitisha makosa ya Angela Kizigha ni....
Hiyo itasaidia kutoa personal judgements za haki.
Magufuli alitoa zake, Mama Samia ametumia zake kuteua na sisi tutoe zetu baada ya maamuzi ya Samia kwa kutumia facts.
Kwanini Angela Kiziga hakukamatwa licha ya agizo la Magufuli kuwa akamatwe kwa kuhujumu uchumi? Tuanzie hapa!!View attachment 3567016