Uchaguzi 2020 Uteuzi wa Charles Kimei ni dhahiri CCM wanataka Jimbo la Mbatia. Na iwe kifo cha dhana ya CCM B

Uchaguzi 2020 Uteuzi wa Charles Kimei ni dhahiri CCM wanataka Jimbo la Mbatia. Na iwe kifo cha dhana ya CCM B

Yaani unamsifia mteuliwa Dr. Kimei kuwa na profile kubwa lakini unalaumu mawazo ya wafuasi wa Chadema kuhusu habari za CCM B.

Ninadhani mambo haya yalihitaji mara mbili tofauti. Kwa sasa sifia uteuzi wa Dr. Kimei na achana na ujinga na lawama dhidi ya Chadema ambao wameweka mgombea sawa sawa na NCCR Mageuzi.

Vijana wa leo mna tatizo na kukosa maarifa! Huna uwezo hata wa kuchambua na kujipanga kabla hujasema kitu!
Haya Mzee wa leo. Kwa ujinga wako.
 
CCM ipambane kweli kweli wampeleke bungeni mtu huyu, anafaa kuwa naibu waziri wa fedha, akasaidiane na Dr. Mpango, ama waziri kamili katika wizara zinazo husiana na uwekezaji, biashara, masoko na mambo ya namna hiyo
Wenyewe wanasema ndiye waziri wa fedha mtarajiwa!
 
Back
Top Bottom