Uteuzi wa Dkt. Biteko ni mchawi mpe mwana amlee

Peleka mahakamani kama hii ni kweli tupu. Ushahidi si unao?
 
Pimbi mkubwa wewe na sjui kwa nini hukutekwa wewe!
 
Pimbi mkubwa wewe na sjui kwa nini hukutekwa wewe!
Kwa vyovyote vile Rais JPM asingetufikisha popote hata kama Nia ya kutufikisha popote alikuwanayo. Nchi ilikwishafikisika, biashara zilikufa, watumishi wanadai, wakandarasi wanadai, mifuko ya hifadhi ya jamii ilifilisika, wastaafu wanadai, wafanyabiashara wanaporwa fedha zao, benk zimefilisika na hazina ilikauka kau. Hali ilikuwa ngumu sana kwake kifedha na kimahusiano na mataifa mengine, asingekuwa na namna yoyote Ile ispokuwa kuachia ngazi, kuwekewa vikwazo au kupata shambulio la moyo.

Isingekuwa busara kwa Rais Samia kuanza kutuambia kwamba hazina hakukuta kitu na amekuta madeni kibao
 
Pimbi mkubwa wewe na sjui kwa nini hukutekwa wewe!
Wewe ni mende. Unakula kwenye makabati lakini unaishi kwenye makaro na mitaro ya maji machafu.

Unabisha bei ya sukari wakati wa mwendazake??
 
Biteko ni mama kujaribu kuwafurahisha watu wa kanda ya ziwa. Maana anajua wazi hawammpendi kwa kumsaliti JPM. Anajua akicheza 2025 kanda ya ziwa wanamnyoosha misa ya kwanza tu.
 
Ngoja tuone !
 
Biteko ni mama kujaribu kuwafurahisha watu wa kanda ya ziwa. Maana anajua wazi hawammpendi kwa kumsaliti JPM. Anajua akicheza 2025 kanda ya ziwa wanamnyoosha misa ya kwanza tu.
Hata hujui kitu ww. Kwa katiba hii Kuna Rais anaweza kushindwa uchaguzi? Mbona JPM aliwaengua wagombea wote wa uchanguzi kupitia vyama vya kijinga vya upinzani?
 
Kumbuka Biteko ni mmoja, je wasaidizi wake wataimba nae wimbo mmoja, au watamwachia zigo limlemee waanze kumcheka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…