Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Uteuzi wa Dr Mashinji Katibu Mkuu mstaafu wa CHADEMA kuwa DC ni kama kushushwa thamani.
Ikumbukwe Dr Slaa alizawadiwa Ubalozi baada ya kuasi chama.Hii iliinyesha namna Serekali ilivyomchukulia Dr Slaa na pia uzito wa nafasi aliyokuwa nayo.
Dr Mashinji kuzawadiwa ukuu wa Wilaya sawa na akina Lijualikali,Nassari naona ni kuonekana hana umuhimu au hana maana.