Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zimepungua kudogo, lakini kule na ulinzi juu
Wakati kuna ruzuku..
Kwa hiyo unataka kusema MaDC hawana maana Wala hawana umuhimu!??Uteuzi wa Dr Mashinji Katibu Mkuu mstaafu wa CHADEMA kuwa DC ni kama kushushwa thamani.
Ikumbukwe Dr Slaa alizawadiwa Ubalozi baada ya kuasi chama.Hii iliinyesha namna Serekali ilivyomchukulia Dr Slaa na pia uzito wa nafasi aliyokuwa nayo.
Dr Mashinji kuzawadiwa ukuu wa Wilaya sawa na akina Lijualikali,Nassari naona ni kuonekana hana umuhimu au hana maana.
Mashinji alidhani Atateuliwa kuwa WaziriUteuzi wa Dr Mashinji Katibu Mkuu mstaafu wa CHADEMA kuwa DC ni kama kushushwa thamani.
Ikumbukwe Dr Slaa alizawadiwa Ubalozi baada ya kuasi chama.Hii iliinyesha namna Serekali ilivyomchukulia Dr Slaa na pia uzito wa nafasi aliyokuwa nayo.
Dr Mashinji kuzawadiwa ukuu wa Wilaya sawa na akina Lijualikali,Nassari naona ni kuonekana hana umuhimu au hana maana.
Bora kuliko kuganga na njaa wanawafuta machoziUteuzi wa Dr Mashinji Katibu Mkuu mstaafu wa CHADEMA kuwa DC ni kama kushushwa thamani.
Ikumbukwe Dr Slaa alizawadiwa Ubalozi baada ya kuasi chama.Hii iliinyesha namna Serekali ilivyomchukulia Dr Slaa na pia uzito wa nafasi aliyokuwa nayo.
Dr Mashinji kuzawadiwa ukuu wa Wilaya sawa na akina Lijualikali,Nassari naona ni kuonekana hana umuhimu au hana maana.
Acha utani wewe Katibu Mkuu wa CCM hawezi kuwa sawa na Katibu Mkuu wa CDM au NRA.Unaweza kumteua Dr Bashiru DC wa Nachingwea !.