Uteuzi wa Dr Mashinji ni kama kushushwa thamani

Hakuna Rais hapo nchi ipo ipo tu Mungu atusaidie Watanzania.
 
Maskin mataga wa kichadema mnatia huruma. Poleni
 
Huenda huko aliko anashukuru hata kupata haka kauteuzi!
 
Hakuna Rais hapo nchi ipo ipo tu Mungu atusaidie Watanzania.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ngoja wakasuluhishe migogoro ya ardhi kwa wananchi huko.
 
Kwa hiyo unataka kusema MaDC hawana maana Wala hawana umuhimu!??
 
Mashinji alidhani Atateuliwa kuwa Waziri
 
Bora kuliko kuganga na njaa wanawafuta machozi
 
Unaweza kumteua Dr Bashiru DC wa Nachingwea !.
Acha utani wewe Katibu Mkuu wa CCM hawezi kuwa sawa na Katibu Mkuu wa CDM au NRA.
CCM wanaunda na kusimamia Serikali kwa mujibu wa Katiba,
Yaani chama cheye Mbunge mmoja hadhi na heshima yake ni ndogo Sana ukiondoaa dhana ya People's Power
 
Wivu tu.
Akiwa cdm hata hata mgambo au polisi jamii walikiwa wanamjambisha leo mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa eneo na saluti juu
 
SIDHANI kama kuna anaeshetists anae pata mil 4.5 , hata mimi nimempiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…