Uteuzi wa Job Masima kuwa Balozi Israel ni ishara ya Rais Magufuli kuinoa na kuiimarisha TISS

Bado hunaeleza wanasaidiaje?? Maana kama training nadhani hizo zinafanyikaga kitambo sana sio tu kwa hao waisrael but hata kwa nchi nyingine. Au ndio ulitaka kuipamba Israel kwa mgongo wa Uteuzi wa huyo Job?
 
Tanzania Intelligence and Security Service, hawa ni wana usalama wa ndani ya nchi. Nje ya mipaka ya nchi wapo MI.
Sidhani coz kufanya ujasusi kwenye nchi nyingine ni against the law . Nchi pekee za kibabe ndio wana uwezo wankufanya haya mambo kama USA walivyo na CIA hawa waneliminate tishio kabla halijafika kwao na nasikia ile hotel mbeya utengule i think ni spot yao. So may be tunawza tukawa na kitengo hiko ticts kujua majiranj zetu wanfanya nn hasa Kenya.Uganda.Rwanda etc but sio kwa hao wa mbaliii hivyo
 
Reactions: MC7
ni muda sasa umepita tokea tupate uhuru, nchi za wenzetu ikiwemo china waliwatumia wanausalama wao kujiimarisha kiuchumi lakini kama hawa Tiss hawapo chini ya chama kilichopo madarakani ni lipi walilolifanya kutuimarisha kiuchumi?
Kwelu hawa wapo chini ya fisiem maana kama wangekuwa active bila kuingiliwa basi wale twiga wasingeondoka
 
Israel haijawahi kuizidi china kwa technology...nitajie bidhaa moja maarufu kutoka Israel....kuhusu jangwa hata Dubai ilikuwa ni jangwa lakini imejengwa sana na ndio inayoongoza kwa watalii duniani....
 
ww mwanamke mbona povu,uko period??
 
Nadhani mleta mada alichochewa na.mhemko kidogo wa imani
 
TISS itaimarika kwa kuwa chombo huru...na siyo kuwa chini ya ofisi ya rais...kwa kuondoka kwenye majukumu ya ushauri tu, kwenda kwenye majukumu ya kutekeleza...


Kuna Ukweli.
 
Hoja yako ni nini sasa hapa ? Uwe una summarize ,kwani kabla ya kufungua Ubalozi hao TISS walikuwa hawapelekwi huko Israel ? ama wakufunzi kutoka Israel kuja Tanzania ?Yaani kuisuka TISS ni kufungua ubalozi Tel Aviv ? Sio kwenda bungeni na kuangalia upya sheria inayounda hiyo taasis ambayo kwa kiasi kikubwa inawanyima meno TISS , Ukishajua cheo cha Job Kasima kijeshi kitakusaidia nini ?
 
Not at all, naamini hata siku upinzani ukijaaliwa kupata kukaa Ikulu watalindwa na haohao tiss.

Huo ndiyo utaratibu.


Richard ni kweli unavyosema huo ndio utaratibu wao kumlinda yeyote anayeingia pale na wataufuata, lakini hali ilivyo sasa, their loyalty to what they need to do and to Tanzanian people is questionable.
I'm not convinced.

Niko upande wa mdau Nzi hapo juu, labda kiwe huru.
 
Ainoe Tiss wakati hajawahi kuwa mtumishi wa idara! hiyo inajinoa na kujiimarisha yenyewe.
 
Miaka ya nyuma kidogo ilikua ni ngumu mkumjua afisa usalama wa Taifa nakumbuka niliwahi kujitia chizi mkoa fulani nikaibuka ofisi zao ili kuulizia nafasi za mafunzo nilienda asubuhi ila nilitoka jioni sanaaaa nikiwa nimeweka uchi ID yangu wale jamaa walinikomalia nimeambiwa na nani kua kuna nafasi siwezi sahau,siku hizi nikiwa bar mwehu anaanzisha ugomvi na anakimbilia kutoa kitambulisho kua yeye ni kitengo kuna mmoja alinikera sana alitoa kitambulisho na akasema hadi mshahara wao duh nimeshangaa juzi yule kilazà mwingine anatoa silaha kibwege vile alafu anamlenga mtu mchana kweupe tena mtua ambae hana silaha mbaya zaidi anakuja kudhibitiwa na Kitenge inaonyesha tumeoza kama Masima anapelekwa kwa nia ya kuimarisha kitengo naona ni vyema ila kama kumuimarisha mtu binafsi ni tatizo.
 
Nani huyo Mwalimu kwa jina lake?
 
Israel haijawahi kuizidi china kwa technology...nitajie bidhaa moja maarufu kutoka Israel....kuhusu jangwa hata Dubai ilikuwa ni jangwa lakini imejengwa sana na ndio inayoongoza kwa watalii duniani....
Sijui kama tuko kwenye wavelength moja. Hapa tunazungumzia innovation ambapo Israel ipo juu sana, secondly Dubai imejengwa na foreigners. 85% ya wakazi wa Dubai ni foreigners. Israel haijajengwa na foreigners. La China nalo sikubaliani nalo. Hakuna "innovation" ni copy and paste. Israel wanaanza na wengine kama China wanafuata.!
 
TISS itaimarika kwa kuwa chombo huru...na siyo kuwa chini ya ofisi ya rais...kwa kuondoka kwenye majukumu ya ushauri tu, kwenda kwenye majukumu ya kutekeleza...
Pendekezo lako ni dead fikira, chombo hicho ni kwa ajiri ya serikali na sio kwa ajiri ya siasa za watu!!
 
Elimu yako mkuu ni ya wapi hiyo? Au uliishia madrasa mzizi?
 
Pendekezo lako ni dead fikira, chombo hicho ni kwa ajiri ya serikali na sio kwa ajiri ya siasa za watu!!
...kwani kikiwa huru, kitakuwa siyo cha serikali?
...hivi huoni sasa kinatumika kwa siasa za watu?
...lengo la kutaka kiwe huru ni kukiondoa kwenye mikono ya wanasiasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…