Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uko form ngap?; kweli ww ni parochial!;Tiss maana yake nini , msamiati ni mgeni kwangu mie
Sidhani coz kufanya ujasusi kwenye nchi nyingine ni against the law . Nchi pekee za kibabe ndio wana uwezo wankufanya haya mambo kama USA walivyo na CIA hawa waneliminate tishio kabla halijafika kwao na nasikia ile hotel mbeya utengule i think ni spot yao. So may be tunawza tukawa na kitengo hiko ticts kujua majiranj zetu wanfanya nn hasa Kenya.Uganda.Rwanda etc but sio kwa hao wa mbaliii hivyoTanzania Intelligence and Security Service, hawa ni wana usalama wa ndani ya nchi. Nje ya mipaka ya nchi wapo MI.
Kwelu hawa wapo chini ya fisiem maana kama wangekuwa active bila kuingiliwa basi wale twiga wasingeondokani muda sasa umepita tokea tupate uhuru, nchi za wenzetu ikiwemo china waliwatumia wanausalama wao kujiimarisha kiuchumi lakini kama hawa Tiss hawapo chini ya chama kilichopo madarakani ni lipi walilolifanya kutuimarisha kiuchumi?
Israel haijawahi kuizidi china kwa technology...nitajie bidhaa moja maarufu kutoka Israel....kuhusu jangwa hata Dubai ilikuwa ni jangwa lakini imejengwa sana na ndio inayoongoza kwa watalii duniani....Ni kweli Israel inaongoza katika teknnologia na ukiangalia tech security companies za Israel ndizo zenye tenda nyingi sana Ulimwenguni. Ushauri wangu waanze na mradi wa NIDA ambao naamini kwa kuwa Modestus anaufahamu fika ni eneo ambalo mchango wao unaweza kuwa wa manufaa sana kwetu. Mradi huu una impact kubwa sana kwenye ustawi wa Uchumi wa nchi yetu kwa ujumla. Pili kwenye kilimo na Umwagiliaji wako mbali sana. Israel ni almost jangwa lakini huwezi kuamini mazao ya kilimo yanayotoka kwenye jangwa hilo. Ukiona swimming pools zilizoko Tel Aviv utafikiri hawa jamaa wana mito kama huku kwetu. Tatu ni kuhusu Elimu, maandalizi yafanywe kuanza kuwaandaa wanafunzi kusoma na kujua Kiyahudi kwani ukitaka kupata Elimu nzuri Israel ni kwenye vyuo vyao ambavyo sharti moja kubwa ni ujue kiyahudi.
ww mwanamke mbona povu,uko period??Tanzania tayari ina mahusiano ya kibalozi na Marekani, UK, Russia, France, China, Germany na kadhalika na kadhalika.
Israel ni cha mtoto katika kila eneo ukiilinganisha na hayo ma nchi, mbona hiyo TISS ya Bongo miaka yote hiyo haijasaidiwa?
Haya ni ma imani ya the Christian right wanaoamini biblia is literally true. Kama unaamini biblia is literally true basi Israel ni nchi ya ahadi, taifa teule ambalo ndio bingwa wa kila kitu ulimwenguni.
Theological baloney. Mashudu!
TISS itaimarika kwa kuwa chombo huru...na siyo kuwa chini ya ofisi ya rais...kwa kuondoka kwenye majukumu ya ushauri tu, kwenda kwenye majukumu ya kutekeleza...
Not at all, naamini hata siku upinzani ukijaaliwa kupata kukaa Ikulu watalindwa na haohao tiss.
Huo ndiyo utaratibu.
Tiss inapiga kazi kote kote.Tanzania Intelligence and Security Service, hawa ni wana usalama wa ndani ya nchi. Nje ya mipaka ya nchi wapo MI.
Wao wanahusika na nini zaidi mkuu??MI ni kitengo kingine kabisa.. ni kama TISS lakini wao ni wanajeshi kabisa.. ni kitengo cha TPDF.
Hii story yako ulitaka kutueleza nini?/? Maana hujaeleweka
Nyie vijana Wa Lumumba very bogus kabisa
Aliwafundisha nini?
Nani huyo Mwalimu kwa jina lake?mh, mimi sina cha kuongezea lakini, tukiamka tukikiponya hiki kikundi cha Tiss mikononi mwa ficiem naamini nchi itanufaishwa sana na TISS wanafaida sana hawa lakini wapo chini ya mwalimu wa ufisadi naamini nao watamlinda mwalimu wao tu badala ya kutulinda wanafunzi
Sijui kama tuko kwenye wavelength moja. Hapa tunazungumzia innovation ambapo Israel ipo juu sana, secondly Dubai imejengwa na foreigners. 85% ya wakazi wa Dubai ni foreigners. Israel haijajengwa na foreigners. La China nalo sikubaliani nalo. Hakuna "innovation" ni copy and paste. Israel wanaanza na wengine kama China wanafuata.!Israel haijawahi kuizidi china kwa technology...nitajie bidhaa moja maarufu kutoka Israel....kuhusu jangwa hata Dubai ilikuwa ni jangwa lakini imejengwa sana na ndio inayoongoza kwa watalii duniani....
Pendekezo lako ni dead fikira, chombo hicho ni kwa ajiri ya serikali na sio kwa ajiri ya siasa za watu!!TISS itaimarika kwa kuwa chombo huru...na siyo kuwa chini ya ofisi ya rais...kwa kuondoka kwenye majukumu ya ushauri tu, kwenda kwenye majukumu ya kutekeleza...
Elimu yako mkuu ni ya wapi hiyo? Au uliishia madrasa mzizi?Anhaa, mimi ninahitaji akili za ziada? Okay.
Kwanza acha ku speculate na kutudanganya sababu ya Profesa Ntalikwa kutumbuliwa Nishati, hujui! Nobody knows, msomi hafanyi fanyi ma wild speculation kama hayo kwamba Ntalikwa ameshindwa ukatibu mkuu kwa sababu japo kasoma hawezi kujadili masuala muhimu. Such ridiculous, wild and woolly conclusions.
Kama ni mfuatiliaji mzuri wa siasa za Tanzania basi unatakiwa kujua kwamba teuzi na tengua za utawala huu ziko erratic and inexplicable, hazielezeki, and sometimes vindictive, visasi, kama Nape. TRA, kwa mfano, ina mabosi wangapi toka JPM achukue nchi, kwa nini hafanyi thorough vetting and prior perfomance evaluation of his nominees?
Hakuna teuzi za JPM ambazo ni thought through and strategic. Balozi wa Israel kachaguliwa kwa mtindo wa random draws.
Israel ni nchi ya kawaida tu, ila nyinyi ambao mnasema the bible is literally true then of course Israel ndio mwisho wa kila kitu. Incredibly feeble mind.
...kwani kikiwa huru, kitakuwa siyo cha serikali?Pendekezo lako ni dead fikira, chombo hicho ni kwa ajiri ya serikali na sio kwa ajiri ya siasa za watu!!