Wewe ni nyumbu hasa!Ili iwe easy hao vijana wake kutumiwa na Bashite kuvamia vituo vya habari kublackmail wanahabari watangaze habari za kumkashifu mbaya wao.
Povu jingu kujifanya msomi unampinga mleta mada, kumbe point moja tu udini basi!Anhaa, mimi ninahitaji akili za ziada? Okay.
Kwanza acha ku speculate na kutudanganya sababu ya Profesa Ntalikwa kutumbuliwa Nishati, hujui! Nobody knows, msomi hafanyi fanyi ma wild speculation kama hayo kwamba Ntalikwa ameshindwa ukatibu mkuu kwa sababu japo kasoma hawezi kujadili masuala muhimu. Such ridiculous, wild and woolly conclusions.
Kama ni mfuatiliaji mzuri wa siasa za Tanzania basi unatakiwa kujua kwamba teuzi na tengua za utawala huu ziko erratic and inexplicable, hazielezeki, and sometimes vindictive, visasi, kama Nape. TRA, kwa mfano, ina mabosi wangapi toka JPM achukue nchi, kwa nini hafanyi thorough vetting and prior perfomance evaluation of his nominees?
Hakuna teuzi za JPM ambazo ni thought through and strategic. Balozi wa Israel kachaguliwa kwa mtindo wa random draws.
Israel ni nchi ya kawaida tu, ila nyinyi ambao mnasema the bible is literally true then of course Israel ndio mwisho wa kila kitu. Incredibly feeble mind.
Hivi ukilaza mtaacha lini watanzania? Lumumba inaingiaje hapa? Huu ni mjadala wa kichama huu?Hii story yako ulitaka kutueleza nini?/? Maana hujaeleweka
Nyie vijana Wa Lumumba very bogus kabisa
Aliwafundisha nini?
umepanicWewe ni nyumbu hasa!
Inaonekana hata mkeo umeshamuuza kwa wanasiasa, maana ubongo wako umejaa siasa!
umekuwa fair ila usitoe povu jingi sn. nimekuelewa na nakubaliana na wewe. ni sawa na wengine wetu tunaona makka au madina ni mji wa kawaida tu kama ilivyo mbagala lakni wakat huohuo wenzetu wanaiheshimu na kila mwaka wanaenda kuhiji. so uko fair.Anhaa, mimi ninahitaji akili za ziada? Okay.
Kwanza acha ku speculate na kutudanganya sababu ya Profesa Ntalikwa kutumbuliwa Nishati, hujui! Nobody knows, msomi hafanyi fanyi ma wild speculation kama hayo kwamba Ntalikwa ameshindwa ukatibu mkuu kwa sababu japo kasoma hawezi kujadili masuala muhimu. Such ridiculous, wild and woolly conclusions.
Kama ni mfuatiliaji mzuri wa siasa za Tanzania basi unatakiwa kujua kwamba teuzi na tengua za utawala huu ziko erratic and inexplicable, hazielezeki, and sometimes vindictive, visasi, kama Nape. TRA, kwa mfano, ina mabosi wangapi toka JPM achukue nchi, kwa nini hafanyi thorough vetting and prior perfomance evaluation of his nominees?
Hakuna teuzi za JPM ambazo ni thought through and strategic. Balozi wa Israel kachaguliwa kwa mtindo wa random draws.
Israel ni nchi ya kawaida tu, ila nyinyi ambao mnasema the bible is literally true then of course Israel ndio mwisho wa kila kitu. Incredibly feeble mind.
Anhaa, mimi ninahitaji akili za ziada? Okay.

Naona kama imani yako ni mlengo wa kigaidi.acha kudharau imani za watu we mzee wa kitabu
Ila nakushauri tu usitukane watu ambao huwafahamu mitandaoni.
Wakianza kutekeleza nani atakuwa anawafuatilia wao kujua wanatekelezaje?TISS itaimarika kwa kuwa chombo huru...na siyo kuwa chini ya ofisi ya rais...kwa kuondoka kwenye majukumu ya ushauri tu, kwenda kwenye majukumu ya kutekeleza...
...sheria na kanuni zake ndizo zinakuwa zinawaongoza...sheria ya kuanzishwa kwa TISS huru n.k.Wakianza kutekeleza nani atakuwa anawafuatilia wao kujua wanatekelezaje?
China haiwezi kuipita Israel kwa Tech, China ananunua Tech kutoka Israel, tech nyingi china huwa anamwibia Muisrael
% Kubwa ya matajiri/mabilioner waliopo pale Marekani ni WAYAHUDI, hawa matajiri wa kiyahudi wanao ishi Marekani wanatuma pesi nyumbani kwao inaenda kama misaada so Israel huwa haipokei misaada
Bila Israel hakuna Marekani technologia yote inayo fumbuliwa pale Marekani inatokana na vichwa vya hawa Wayahudi
Kuna uwanja wa ndege upo Israel ukiingia ndani chini ya floor kuna spy camera na vinasa sauti na huwezi kuviona!
FB,INST,WHATSAPP,CocaCola etc..... ni vichwa vya MYAHUDI
GOD BLESS ISRAEL...
China iipite Israel kwa Teknolojia ipi mzee be specific? au niweke swali hv Israel wana technology ipi labda ambayo China hawana? nikama ile dhana tu yakuamini kuwa wachagga wanapenda sana pesa na watu wengine hawapendi!!!,Kama ni technologia ya Nyuklia China wanayo na waisraeli wanayo pia waliwaibia wafaransa ndio wakajenga kile kinu chao cha nyuklia cha DIMONA!,Ukisema rocket Wachina wanapeleka Rocket na vyombo mwezini waisrael hawajawahi! kwenye tech za silaha za kivita ndio usiseme China anafanya kila kitu wenyewe Israel anapewa na marekani na vingine wanatengeneza! and the list goes on....... utalinganisha mpaka uchoke!China haiwezi kuipita Israel kwa Tech, China ananunua Tech kutoka Israel, tech nyingi china huwa anamwibia Muisrael
% Kubwa ya matajiri/mabilioner waliopo pale Marekani ni WAYAHUDI, hawa matajiri wa kiyahudi wanao ishi Marekani wanatuma pesi nyumbani kwao inaenda kama misaada so Israel huwa haipokei misaada
Bila Israel hakuna Marekani technologia yote inayo fumbuliwa pale Marekani inatokana na vichwa vya hawa Wayahudi
Kuna uwanja wa ndege upo Israel ukiingia ndani chini ya floor kuna spy camera na vinasa sauti na huwezi kuviona!
FB,INST,WHATSAPP,CocaCola etc..... ni vichwa vya MYAHUDI
GOD BLESS ISRAEL...
Unaongelea Wayahudi kama dini au unaongelea Israel maana umechanganya changanganyaChina haiwezi kuipita Israel kwa Tech, China ananunua Tech kutoka Israel, tech nyingi china huwa anamwibia Muisrael
% Kubwa ya matajiri/mabilioner waliopo pale Marekani ni WAYAHUDI, hawa matajiri wa kiyahudi wanao ishi Marekani wanatuma pesi nyumbani kwao inaenda kama misaada so Israel huwa haipokei misaada
Bila Israel hakuna Marekani technologia yote inayo fumbuliwa pale Marekani inatokana na vichwa vya hawa Wayahudi
Kuna uwanja wa ndege upo Israel ukiingia ndani chini ya floor kuna spy camera na vinasa sauti na huwezi kuviona!
FB,INST,WHATSAPP,CocaCola etc..... ni vichwa vya MYAHUDI
GOD BLESS ISRAEL...
Hovyo tu! ndio zile zile thread za kuwashobokea waisraeli na kuamini "they are so special" wakati wanasaidiwa na marekani na baadhi ya mataifa ya ulaya,hili taifa la waisraeli ni taifa la kibaguzi,kizandiki,wauwaji na watu wasiojali maisha ya wanadamu wengine isipokuwa wao tu! wanaamini wao ni binadamu na wengine ni "GOYIM" (wasio wa Mungu/watu mwitu).
Nyerere alijali uhusiano na mataifa yanayozingatia haki na usawa ndani yao na kwa mataifa mengine ndio maana aligoma kuwa na uhusiano na hawa wauwaji wasio na chembe hata ya utu dhidi ya mataifa ya kiarabu na wapalestina,kwa mtu yoyote yule mwenye utu,huruma na roho nzuri hupaswi kwa namna yoyote ile kuwashabikia hawa waisrael ndio hawa wanaua wapalestina kama kuku bila kujali!
Ukisema kuweka uhusiano na israel ni kuiimarisha TISS unakuwa unakosea! totally wrong!,Hii TISS iliyoanzishwa na Nyerere ikawa imara mpaka leo hii majasusi wetu hawakuwa wamefundishwa israel,marekani wala uingereza mzee! walikuwa trained CUBA,SOVIET(RUSSIA),YUGOSLAVIA,CHINA na KOREA(DPRK) hata jeshi letu lina vifaa vingi kutokea hizi nchi na hata leo hii tukisema ni taifa gani lipo vizuri kwenye maswala ya upelelezi huwezi kuwaacha warussi nafasi ya kwanza nadhani hivi karibuni umeona alivyowafanya wamarekani kwenye uchaguzi wao na maswala mengine ya ujasusi,israeli siku zote wanakwambia hawana rafiki ndiomaana wanam-spy hadi mmarekani mwenyewe (fuatilia kisa cha Jonadhan Porrad ) then wanauza siri kwa wachina na warusi sembuse sisi watanzania!.Soma hizi link Israel Won’t Stop Spying on the U.S., Report: Israel Passes U.S. Military Technology to China - Defensetech
Kujiumanisha na hili taifa la israel ni kukaribisha mashambulizi ya kigaidi kutoka vikundi mbali mbali vya kiislam vyenye milengo mikali just like yanayowakumba Kenya mara kwa mara! kuna hasara nyingi zaidi kuliko faida!.kesho na keshokutwa mtapeleka watu kujifunza kule watarudi ma "double agents" ukashangaa siri zetu wanauziwa wakenya,waganda na rwanda!,
Tukitaka kujiendeleza kwenye hayo maswala ya ujasusi hatuna budi kurudi kwa walimu wetu wa zamani hivi hujawahi kujiuliza ni intelijensia ya namna gani CUBA wanayo kwa miaka yoote ya uonevu na ubabe wa wamarekani walishindwa kumtoa/kumuua FIDEL CASTRO??? Au marekani plus nchi zoote za NATO combined zinamshambulia mrussi kiuchumi na kijasusi but bado jamaa anawakimbiza kwenye hayo maswala?,ulaya nzima combined inaiogopa russia kwa nyanja zoote hakuna taifa la ulaya hata moja linaloweza kusimama against na russia ndiomaana wanaamua kuwa pamoja kupitia NATO!.Hivi karibuni umeona alichowafanya wamarekani kwenye CYBER WARFARE katika uchaguzi wao hadi sasahv wanahangaika kumtafuta mchawi ni nani pamoja na mavyombo yao yoote yale ya usalama(NSA,CIA,FBI,)?,wachina wameiba siri nyingi sana marekani na kwenda kuanzisha viwanda vya technologia kwao
Tuache hizi mambo za kuwashabikia waisrael pasipo kuwachunguza ni much better tungeimarisha uhusiano wetu na Urusi,India na China ndio mataifa yanakuja juu zaidi duniani kwa sasa kwenye nyanja zoote kuliko kwenda kujipendekeza kwa hawa Wauwaji wanaojiita Wayahudi wasiojali maisha ya binadamu wengine
Nakuelewa, ila kwa sasa ubalozi umekwishafunguliwa na tuna balozi wetu mjini Tel Aviv.
Sikuongelea kwa undani kuhusu mgogoro wa mfereji wa Suez kati ya Israel na mataifa ya kiarabu wakiongozwa na Misri chini ya marehemu Anwar Sadat.
Ila unafamu kwamba nyuma ya mgogoro wa mfereji wa Suez kulikuwa na Marekani na ilokuwa USSR?
Kwa wakti ule Tanzania ilikuwa inafuata siasa za kikomunisti na ilikuwa inawafuata USSR yaani "soviet sphere of influence".
Hiyo ni historia na kuna topic kabisa kuhusu mfereji wa Suez ambayo inajitosheleza.
Bila kwenda ndani sana kwenye suala la mafunzo ni kwamba kwa sasa teknolojia na nyenzo za kisasa zipo na zinatengezwa na Israel na nchi nyingi tu sasa hivi zinaiangalia Israel.
Katika ulimwengu wa leo wa tishio la ugaidi na kila aina ya uhalifu wa kiteknolojia na uhalifu ulosukwa yaani "organised crime" basi unahitaji msaada wa wale wajuzi ambao wapo "available" na Israel wanajaza namba.
Ukizungumza utekaji ndege, utekaji meli na shughuli zozote ambazo zinaleta madhara kiuchumi kwa nchi fulani basi kuna njia za kuweza kujifunza namna ya angalu kuzuia mambo hayo yasitokee hivyo Israel wapo karibu kabisa na eneo la tukio kusaidia.
Ukiingia katika tovuti ya Bloomberg kwenye "innovation index" utapata Data kwamba Israel ni nchi ya tano duniani kwa ubunifu yaani "innovation".
Israel ina wanasayansi na wahandisi 140 katika idadi ya waajiriwa 10,000 ikiwa ni sawa na asilimia 85 kwa idadi hiyohiyo nchini Japan na asilimia 83 nchini Marekani.
Hawa wanasayansi na wahandisi pia wameshiriki kuendeleza mambo mengi katika sayansi ya asili, sayansi ya kilimo kwenye umwagiliaji (drip irrigation), vifaa vya umeme, sayansi ya kompyuta, na hata kumuunda robot.
Kwa mfano leo hii nchii Israel wanakunywa maji ambayo awali yalikuwa nimaji ya bahari baada ya kufanya kitu kinatwa "water conversing" ambapo maji ya bahari yanavunwa na kuchujwa.
Ninaweza kujaza hii sehemu lakini hayo ni machache tu mkuu, jifunze zaidi kuhusu hawa jamaa.
Pia unapojadili hii mada, jaribu sana kuepusha suala la dini maana siko huko.