Hovyo tu! ndio zile zile thread za kuwashobokea waisraeli na kuamini "they are so special" wakati wanasaidiwa na marekani na baadhi ya mataifa ya ulaya,hili taifa la waisraeli ni taifa la kibaguzi,kizandiki,wauwaji na watu wasiojali maisha ya wanadamu wengine isipokuwa wao tu! wanaamini wao ni binadamu na wengine ni "GOYIM" (wasio wa Mungu/watu mwitu).
Nyerere alijali uhusiano na mataifa yanayozingatia haki na usawa ndani yao na kwa mataifa mengine ndio maana aligoma kuwa na uhusiano na hawa wauwaji wasio na chembe hata ya utu dhidi ya mataifa ya kiarabu na wapalestina,kwa mtu yoyote yule mwenye utu,huruma na roho nzuri hupaswi kwa namna yoyote ile kuwashabikia hawa waisrael ndio hawa wanaua wapalestina kama kuku bila kujali!
Ukisema kuweka uhusiano na israel ni kuiimarisha TISS unakuwa unakosea! totally wrong!,Hii TISS iliyoanzishwa na Nyerere ikawa imara mpaka leo hii majasusi wetu hawakuwa wamefundishwa israel,marekani wala uingereza mzee! walikuwa trained CUBA,SOVIET(RUSSIA),YUGOSLAVIA,CHINA na KOREA(DPRK) hata jeshi letu lina vifaa vingi kutokea hizi nchi na hata leo hii tukisema ni taifa gani lipo vizuri kwenye maswala ya upelelezi huwezi kuwaacha warussi nafasi ya kwanza nadhani hivi karibuni umeona alivyowafanya wamarekani kwenye uchaguzi wao na maswala mengine ya ujasusi,israeli siku zote wanakwambia hawana rafiki ndiomaana wanam-spy hadi mmarekani mwenyewe (fuatilia kisa cha Jonadhan Porrad ) then wanauza siri kwa wachina na warusi sembuse sisi watanzania!.Soma hizi link
Israel Won’t Stop Spying on the U.S.,
Report: Israel Passes U.S. Military Technology to China - Defensetech
Kujiumanisha na hili taifa la israel ni kukaribisha mashambulizi ya kigaidi kutoka vikundi mbali mbali vya kiislam vyenye milengo mikali just like yanayowakumba Kenya mara kwa mara! kuna hasara nyingi zaidi kuliko faida!.kesho na keshokutwa mtapeleka watu kujifunza kule watarudi ma "double agents" ukashangaa siri zetu wanauziwa wakenya,waganda na rwanda!,
Tukitaka kujiendeleza kwenye hayo maswala ya ujasusi hatuna budi kurudi kwa walimu wetu wa zamani hivi hujawahi kujiuliza ni intelijensia ya namna gani CUBA wanayo kwa miaka yoote ya uonevu na ubabe wa wamarekani walishindwa kumtoa/kumuua FIDEL CASTRO??? Au marekani plus nchi zoote za NATO combined zinamshambulia mrussi kiuchumi na kijasusi but bado jamaa anawakimbiza kwenye hayo maswala?,ulaya nzima combined inaiogopa russia kwa nyanja zoote hakuna taifa la ulaya hata moja linaloweza kusimama against na russia ndiomaana wanaamua kuwa pamoja kupitia NATO!.Hivi karibuni umeona alichowafanya wamarekani kwenye CYBER WARFARE katika uchaguzi wao hadi sasahv wanahangaika kumtafuta mchawi ni nani pamoja na mavyombo yao yoote yale ya usalama(NSA,CIA,FBI,)?,wachina wameiba siri nyingi sana marekani na kwenda kuanzisha viwanda vya technologia kwao
Tuache hizi mambo za kuwashabikia waisrael pasipo kuwachunguza ni much better tungeimarisha uhusiano wetu na Urusi,India na China ndio mataifa yanakuja juu zaidi duniani kwa sasa kwenye nyanja zoote kuliko kwenda kujipendekeza kwa hawa Wauwaji wanaojiita Wayahudi wasiojali maisha ya binadamu wengine