Hatari sana watu wanavyo jilimbikizia madaraka na vyeo, mtu mmoja ana vyeo vitatu;
1) Yeye Katibu Mkuu Wa Chama.
2) Yeye Balozi.
3) Yeye Katibu Mkuu Kiongozi.
Mwingine nae anavyeo zaidi ya sita: Yeye Rais, Yeye Askofu, Yeye Mhubiri Wa Kanisa, Yeye Daktari, Yeye Injinia, Yeye Mwalimu, Yeye Dereva Taxi Bubu, Yeye Mkuu Wa Majeshi n.k
Yote hii kuwanyamazisha watakaotaka kupinga kuongezwa kwa mihula ya urais.
NB: Hili swala la kutaka kuongeza mihula ya urais, CCM wakitaka kulazimisha kwa kigezo bunge lote lakwao basi nchi hii inaingia kwenye mpasuko. Watu watakichafua vibaya sana maana sasa wanajuta kwanini waligoma kuandamana pindi Tundu Lissu alivotoa wito.