Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mwambie akafie mbali huko. Tanzania tunahitaji watu wenye vision na sio machakara kama yeye.
Hivi ubalozi aliteuliwa lini mkuu?Hatari sana watu wanavyo jilimbikizia madaraka na vyeo, mtu mmoja ana vyeo vitatu;
1) Yeye Katibu Mkuu.
2) Yeye Balozi.
3) Yeye Katibu Mkuu Kiongozi.
Unapokabiliwa na njaa ukajidhalilisha usidhani kila mtu atafanya kama weweAngeteuliwa yeye J J Mnyika angekataa?
Mkuu, jana kateuliwa vyeo viwili kwa wakati mmoja, soma hapo paragraph ya pili kutoka mwisho, ilioanza na "WAKATI HUO HUO"Hivi ubalozi aliteuliwa lini mkuu?
Jana!Hivi ubalozi aliteuliwa lini mkuu?
CCM haina watu wengine hadi muanze kuhamishia chama Ikulu?Kama hizi ndio hoja za CHADEMA siku hizi basi nikiri kusema hakuna umuhimu wa upinzani tena. Kama mtu ana sifa na vigezo vya kuteuliwa , hakuna namna kufanywa hivyo
Sasa huyo Bashiru Ally ana vision gani zaidi tu ya kumsujudia binadamu mwenzake?Mwambie aksfie mbali huko. Tanzania tunahitaji watu wenye vision na sio machakara kama yeye.
Aisee thanks mkuu, sikuwa nimejua hilo.Mkuu, jana kateuliwa vyeo viwili kwa wakati mmoja, soma hapo paragraph ya pili kutoka mwisho, ilioanza na "WAKATI HUO HUO"View attachment 1712922
Visheni yake hii hapaSasa huyo Bashiru Ally ana vision gani zaidi tu ya kumsujudia binadamu mwenzake?
Angekuwa ana vision si angejitokeza hadharani yeye na mwenzake Polepole kumshawishi bosi wake kuurejesha Mchakato wa Katiba Mpya ya Wananchi?
Ataachai nafasi mojawapo na hivyo ikulu itabaki ikulu na chama ni chama. CHADEMA ndio walitaka kuhamisha chama serikalini Mbowe alipojitanga waziri mkuuccm haina watu wengine hadi muanze kuhamishia chama Ikulu ?
Kiukweli Mwilapwa umeitumikia ccm kwa uaminifu mno , tena umeibeba hata kwenye mambo ya aibu , mbona huteuliwi ?Ataachai nafasi mojawapo na hivyo ikulu itabaki ikulu na chama ni chama. CHADEMA ndio walitaka kuhamisha chama serikalini Mbowe alipojitanga waziri mkuu
Hilli ni suala la kisheria zaidi na ni vizuri tuvute subra.Tamko la TLS litatupa mwanga.Ukisoma Katiba ni kuwa ni lazima awe 'Mtumishi mwandamizi wa serikali".Hoja hiyo ndiyo itakayotuletea mjadala zaidi mbeleni.TUSUBIRI!Kama hizi ndio hoja za CHADEMA siku hizi basi nikiri kusema hakuna umuhimu wa upinzani tena. Kama mtu ana sifa na vigezo vya kuteuliwa , hakuna namna kufanywa hivyo
MwalHilli ni suala la kisheria zaidi na ni vizuri tuvute subra.Tamko la TLS litatupa mwanga.Ukisoma Katiba ni kuwa ni lazima awe 'Mtumishi mwandamizi wa serikali".Hoja hiyo ndiyo itakayotuletea mjadala zaidi mbeleni.TUSUBIRI!
Mwalimu wa chuo kikuu cha umma/ aliyefikia nafasi ya juu, huyo hatoshi kuwa afisa mwandamizi? Labda watusaidie mipaka ya hayo maneno ni kwa mtumishi aliyewahi kushika nafasi zipiHilli ni suala la kisheria zaidi na ni vizuri tuvute subra.Tamko la TLS litatupa mwanga.Ukisoma Katiba ni kuwa ni lazima awe 'Mtumishi mwandamizi wa serikali".Hoja hiyo ndiyo itakayotuletea mjadala zaidi mbeleni.TUSUBIRI!
Chama kimeshika hatamu ndugu.View attachment 1712912
Je Katibu Mkuu kiongozi anapaswa kuteuliwa kutoka kwenye kundi gani , anaokotwa popote au anatoka kwenye Utumishi wa Umma ?