Ilifikia mahali ofisini mwa DPP mawakili wa Serikali wenyewe wanasema kabisa hizi kesi tunaletewa tuu kupeleka Kisutu hakuna evidence.
Basi hali ilikuwa hali mbaya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilifikia mahali ofisini mwa DPP mawakili wa Serikali wenyewe wanasema kabisa hizi kesi tunaletewa tuu kupeleka Kisutu hakuna evidence.
Kwa mtazamo wangu mama ni rafiki na watuhumiwa wa ufisadi. Yote mtoa post anasema ni assumption tu. Eti jiwe akala njama na dr kalemani wakamzushia mtu kesi ya ufisadi. Mtu hawezi kuzushia kesi ya ufisadi from nowhere. Badala ya kukubaki magu alikua makini dhidi ya watu fisadi unatunga habari ya ukuda kwa kua mwenyewe ni fisadi au sympathetic na upigaji.Sijafahamu lengo la SSH kumpeleka Katwale kuwa mkuu wa wilaya ya Chato.
Huyu ndugu ni mtaratibu, mpole, na aliwahi kufanya kazi NEMC kama mwanasheria, akajijenga kisiasa, akakubalika kweli kweli, ila Jiwe akawa anamtaka Kalemani ambaye alikuwa dhaifu kisiasa.
Ikasukwa zengwe, akapita Kalemani. Baada ya Kalemani kupita, vita ikaanza rasmi ya kummaliza Katwale kisiasa. Waendesha vita ni Jiwe na Kalemani wakitumia Ofisi ya DPP.
Alitundikwa kesi kadhaa za uhujumu uchumi, akakaa sana magereza Dar es salaam. Lengo ni kumchafua na kumdhoofisha, akapanda sana kisutu.
Leo Katwale ameenda kuwa mkuu wa wilaya ambayo mbunge ni hasimu wake kisiasa. Je Kalemani anaonyeshwa ishara kwamba hatakiwi tena? Ndio mwanzo wa mwisho wa Kalemani? Uteuzi wa Katwale ni ili akajiimarishe kisiasa Chato 2025 apite kama anateleza tu? Team Jiwe/Kalemani watajipangaje?
View attachment 2494990
Jiwe alikuwa muonevu, mtu wa hovyo kabisa na laanaKwa mtazamo wangu mama ni rafiki na watuhumiwa wa ufisadi. Yote mtoa post anasema ni assumption tu. Eti jiwe akala njama na dr kalemani wakamzushia mtu kesi ya ufisadi. Mtu hawezi kuzushia kesi ya ufisadi from nowhere. Badala ya kukubaki magu alikua makini dhidi ya watu fisadi unatunga habari ya ukuda kwa kua mwenyewe ni fisadi au sympathetic na upigaji.
Mumesema mengi dhidi ya magufuli ila hata mmojawenu hajaweza kutaja shutuma yoyote ya kweli.
Sasa mbona hayupo peke yake? Kuna wakati watu wanakimbilia siasa kuficha maovu. Especially ccmSijafahamu lengo la SSH kumpeleka Katwale kuwa mkuu wa wilaya ya Chato.
Huyu ndugu ni mtaratibu, mpole, na aliwahi kufanya kazi NEMC kama mwanasheria, akajijenga kisiasa, akakubalika kweli kweli, ila Jiwe akawa anamtaka Kalemani ambaye alikuwa dhaifu kisiasa.
Ikasukwa zengwe, akapita Kalemani. Baada ya Kalemani kupita, vita ikaanza rasmi ya kummaliza Katwale kisiasa. Waendesha vita ni Jiwe na Kalemani wakitumia Ofisi ya DPP.
Alitundikwa kesi kadhaa za uhujumu uchumi, akakaa sana magereza Dar es salaam. Lengo ni kumchafua na kumdhoofisha, akapanda sana kisutu.
Leo Katwale ameenda kuwa mkuu wa wilaya ambayo mbunge ni hasimu wake kisiasa. Je Kalemani anaonyeshwa ishara kwamba hatakiwi tena? Ndio mwanzo wa mwisho wa Kalemani? Uteuzi wa Katwale ni ili akajiimarishe kisiasa Chato 2025 apite kama anateleza tu? Team Jiwe/Kalemani watajipangaje?
View attachment 2494990
Huu uteuzi ni wa kimbinu sana, vita ya kiakili inaanzishwa, wao kwa wao waparurane wakiwa karibu. Wasije tu kuwekeana sumu kwenye vinywaji au vyakula.Sasa sijui kama Kalemani atakuwa na muda wa kuratibu shughuli za Sukuma Gang, maana kawekewa mtu wa kumpa pressure na kumkalia kooni
Huu mchezo hauhitaji hasira 🤣🤣🤣🤣!!!Sijafahamu lengo la SSH kumpeleka Katwale kuwa mkuu wa wilaya ya Chato.
Huyu ndugu ni mtaratibu, mpole, na aliwahi kufanya kazi NEMC kama mwanasheria, akajijenga kisiasa, akakubalika kweli kweli, ila Jiwe akawa anamtaka Kalemani ambaye alikuwa dhaifu kisiasa.
Ikasukwa zengwe, akapita Kalemani. Baada ya Kalemani kupita, vita ikaanza rasmi ya kummaliza Katwale kisiasa. Waendesha vita ni Jiwe na Kalemani wakitumia Ofisi ya DPP.
Alitundikwa kesi kadhaa za uhujumu uchumi, akakaa sana magereza Dar es salaam. Lengo ni kumchafua na kumdhoofisha, akapanda sana kisutu.
Leo Katwale ameenda kuwa mkuu wa wilaya ambayo mbunge ni hasimu wake kisiasa. Je Kalemani anaonyeshwa ishara kwamba hatakiwi tena? Ndio mwanzo wa mwisho wa Kalemani? Uteuzi wa Katwale ni ili akajiimarishe kisiasa Chato 2025 apite kama anateleza tu? Team Jiwe/Kalemani watajipangaje?
View attachment 2494990
Sio shindikizo ni shinikizo wewe mhehe.Hali ilikuwa mbaya kama ikiwa mihimili yote ilitumika kwa shindikizo. Mhimili wa nne yaani vyombo vya habari kuweka uzito kuwa habari inayoongoza, kesi kujazwa mhimili wa mahakama bila uchunguzi wa kutosha, shindikizo toka kwa wanene n.k hali ilikuwa inatisha na kuogofya sana kama ni kweli ilikuwa hivyo
MaCCM ni majinga yanaona raha wakati lengo la Mama ni kukwamisha jitihada za chato kuwa mkoa.Kabisa....na Chato mambo ya sumu za mamba yako sana, na kurogana kama nini
Kimahesabu Chato haitakuja kuwa Mkoa, itakuwa uamuzi wa kipumbavu kama wa kupeleka uwanja wa ndege Chato au kujenga hospitali ya Kanda chatoMaCCM ni majinga yanaona raha wakati lengo la Mama ni kukwamisha jitihada za chato kuwa mkoa.
Kwani Chato ina vigezo gani vya kuwa mkoa? Labda kama siku moja kutakuwa na sheria kuwa kijiji anachotoka Rais ni lazima kubadilishwa kuwa mkoa.MaCCM ni majinga yanaona raha wakati lengo la Mama ni kukwamisha jitihada za chato kuwa mkoa.
kumtaka Kalemani alete CCTV tapes alizoziondoa