Uteuzi wa ubunge wa Kizigha , licha ya kuwa na kashfa lukuki , ktk manunuzi serikali kwenye vyombo vya Ulinzi na usalama , kunaonyesha kwamba Utendaji , wa sieji Una walakini au katika mrorongó wa hatua za uteuzi kuna mapungufu.
Soma pia Uteuzi/Utenguzi Aprili 2, 2026: Angela Kizigha ateuliwa kuwa Mbunge, Mkurugenzi EWURA atenguliwa
Soma pia Uteuzi/Utenguzi Aprili 2, 2026: Angela Kizigha ateuliwa kuwa Mbunge, Mkurugenzi EWURA atenguliwa