Uteuzi wa M/Kiti wa Bodi Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania

Tuache ujinga samua ni rais wa jamhuri ya muungano,anayo mamlaka ya kumteua mtanzanua yoyote amtakaye

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mambo ya Usafiri wa Anga na Usafirishaji wa Anga ni mambo ya Muungano yapo kwenye orodha ya mambo 22 ya Muungano kwa mujibu wa Ibara ya 4 (3) ya Katiba ikisomeka kwa pamoja na Aya ya 11 na 17 ya Nyongeza ya Kwanza (First Schedule).
 
Tunaomba hapa hiyo ibara

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Tafuta Katiba (Swahili version) Toleo la 2005 soma ukurasa wa 15 utaona Ibara ya 4 (3) ya Katiba na muhimu sana soma ukurasa wa 128 kwenye Orodha ya Mambo ya Muungano hususani soma Orodha Na. 11 na 17 ambazo ziko kwenye Nyongeza ya Kwanza ya Katiba.
 
Mama ameanza kuelemea Kizimkazi eeeehh?!
 
Labda anga za kichawi!
 
Miaka minne ya Wazanzibar kutusua maana Miss Utalii anahakikisha anawanyanyua kwa nguvu zote
 
Kazi ya urais sio nchezo. Mwacheni aendelee kudemka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…