Uteuzi wa Majaji Kenya: Rais Uhuru akubali 34, akataa Wengine 6

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Watu mbalimbali Wametoa maoni yao kuhusiana na kutokutangazwa kwa Baadhi ya Majaji wa Mahakama nchini Kenya kulikofanywa na Rais Uhuru Kenyatta.

Watu Wengi wanakuuliza Je Katiba ya Kenya 2010 inampa Rais Mamlaka ya Kufanya marekebisho ya orodha anayopelekewa na Tume ya Utumishi wa Mahakama (JSC)?

Na je yeye Kama Rais Huoni Kama anaweza kuwa na taarifa za ziada kuhusiana na mwenendo na tabia ambazo sio nzuri kwa Baadhi ya Majaji na hivyo kutowateua? Je, Uhuru amevunja KATIBA au yupo SAWA?

Taarifa zilizopo ni Kuwa walikuwa recommended na Judiciary service commission kuwa Judges... Wachanganuzi wa masuala ya kisiasa wanasema kuwa Uhuru Kenyatta ameongozwa na Chuki dhidi ya baadhi ya Majaji Kama GV Odunga na J Ngugi

Uhuru akateua 34, Miongoni mwao, Maana Nimeona Kuna Majaji 7 wamepelekwa CoA, na 18 Judges ambao wamepelekwa HC ya Environment and Land Court Huku Tz Tunaita HC, Land Division na Kuna Majaji 9 wamepelekwa Kwenye HC ya Employment and Labour Relations Court, Huku Kwetu Tanzania Tunaita HC, Labour Divison.

And Among 6 Ambao Wamekuwa rejected Ni George Odunga, Weldon Korir and Joel Ngugi who declared Building Bridges Initiative null and void. [emoji2][emoji2][emoji1487][emoji1487]
 
What does the katiba say on this? Can a president appoint a partial list of judges nominated by JSC?
 
The constitution is clear. He can't.
Yes ... The president has no power to do so under the CoK 2010. His is role is simply ceremonial. Appointment and rejection is a JSC Role not the president's.
 
Yes ... The president has no power to do so under the CoK 2010. His is role is simply ceremonial. Appointment and rejection is a JSC Role not the president's.
Peleka Uhuru kotini
 
Looking for signs of dictatorship? Never been more clearer.
George Odunga,
Aggrey Muchelule
Joel Ngugi and Kenyans have Article 166 (1)(b) in black and white no Gray. If only parliament was independent, impeachment is only remedy.
 
Tayari Wakenya wameenda mahakamani kupinga Appointment ya Majaji, Progressive constitution
 
Na Uhuru ndio wabongo tunamsifiaga eti sio dictator?

Waafrika wote DNA zao zinafanana tu.
 
Boss jifunze kujibu swali ulivyoulizwa.
Kwani niko kwenye chumba cha mtihani?

Au unataka nijibu kulingana na vile wewe unataka? Hata hayo ni majibu pia.. Kama ulitegemea nijibu vingine poleee

The reggae continue...
 
The question is, did the president gave himself those powers, or he is just given by the constitution, just like other holders of office in constitutionally created arms of government? Every constitutional office must operate within the confines of the constitution and the law.
 
The only powers that the president has is either sign the whole list or refuse to sign the whole list of judges. He cannot cherry pick who he wants, kwani anafikiri ye ni moi? Huyu Attorney General anazidi kumpotosha rais wake, as if ile aibu aliofanya pale kwa kesi ya BBI haikutosha!
 
BTW, hii ni sawasawa na kama vile bunge likitunga Sheria na kupelekea rais atie sahihi. Rais akiwa hajafurahishwa na vipengee flani vya hio Sheria, anaregesha Sheria yote bungeni ifanyiwe mjadala tena, alichofanya rais ni sawa na kutoa vipengee flani vya Sheria mpya alafu atie sahii kwa vipengee vilivyobaki na aseme hio ndo Sheria mpya bila kuturegesha bungeni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…