Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wakuu Watu mbalimbali Wametoa maoni yao kuhusiana na kutokutangazwa kwa Baadhi ya Majaji wa Mahakama nchini Kenya kulikofanywa na Rais Uhuru Kenyatta.
Watu Wengi wanakuuliza Je Katiba ya Kenya 2010 inampa Rais Mamlaka ya Kufanya marekebisho ya orodha anayopelekewa na Tume ya Utumishi wa Mahakama (JSC)?
Na je yeye Kama Rais Huoni Kama anaweza kuwa na taarifa za ziada kuhusiana na mwenendo na tabia ambazo sio nzuri kwa Baadhi ya Majaji na hivyo kutowateua? Je, Uhuru amevunja KATIBA au yupo SAWA?
Taarifa zilizopo ni Kuwa walikuwa recommended na Judiciary service commission kuwa Judges... Wachanganuzi wa masuala ya kisiasa wanasema kuwa Uhuru Kenyatta ameongozwa na Chuki dhidi ya baadhi ya Majaji Kama GV Odunga na J Ngugi
Uhuru akateua 34, Miongoni mwao, Maana Nimeona Kuna Majaji 7 wamepelekwa CoA, na 18 Judges ambao wamepelekwa HC ya Environment and Land Court Huku Tz Tunaita HC, Land Division na Kuna Majaji 9 wamepelekwa Kwenye HC ya Employment and Labour Relations Court, Huku Kwetu Tanzania Tunaita HC, Labour Divison.
And Among 6 Ambao Wamekuwa rejected Ni George Odunga, Weldon Korir and Joel Ngugi who declared Building Bridges Initiative null and void. [emoji2][emoji2][emoji1487][emoji1487]