Uteuzi wa nafasi mbalimbali TAMISEMI

Uteuzi wa nafasi mbalimbali TAMISEMI

Siku hizi Idara ya Elimu uongozi una posho.

Mkuu wa shule anapata Tsh 200,00 ( msingi ) na Tsh 250,000 ( Secondary na mratibu ).

Sasa nadhani Afisa Elimu watakuwa wanapata zaidi ya hizo.
Afisa elimu, afisa afya, afisa ardhi, afisa rasilimali watu na afisa kada nyingine yeyote halmashauri hawa in wakuu was idara kiwilaya na mishahara yao ni sawa + posho ya nyumba+usafiri+mawasiliano
 
Afisa elimu, afisa afya, afisa ardhi, afisa rasilimali watu na afisa kada nyingine yeyote halmashauri hawa in wakuu was idara kiwilaya na mishahara yao ni sawa + posho ya nyumba+usafiri+mawasiliano
nyumba+usafiri+mawasiliano wanapewa 900,000+ salary 3,700,000. Basic
 
Back
Top Bottom