Uteuzi wa social lites ni kwamba siku hizi watumishi bora wengine hawana umuhimu?

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,584
Hatukatai kuteuliwa kwa watu maarufu wa mitandaoni ila tunajiuliza yakuwa je wale watumishi bora siku hizi hawana umuhimu tena?

Ukiangalia teuzi nyingi za awamu hii ya tano mh raisi amejikita zaidi kuwateuwa watu maarufu mitandaoni!
Hatukatai huenda wakawa watumishi na watendaji wazuri watakaomwakilisha ktk nafasi mbali mbali alizowapa ila najiuliza tu yakuwa ule morali wa wale watumishi waliokuwa wakifanya kazi kwa nguvu zote ili wawe promoted kama wakurugenzi, maafisa ktk idara mbali mbali na hata ukuu wa wilaya na mikoa hatuoni kama unapotea?
Kama taifa tunapaswa kuwa na dira ambayo kila raisi atakayeingia anapaswa kuifata na si raisi awe dira kisha taifa limfate.
Kwa sasa imekuwa ni fursa ya mtu yeyote maarufu esp mitandaoni kumsifu mtukufu na kupata cheo hivyo sio lazima tena ya mtumishi kuwa bora kazini wakati wenzao wapo kwenye ubora mitandaoni na wanarusha tu fagio kwa mh na kula shavu
This is Tz.

Kwa mfano Jokete hapo anacheka nini?
Yani ni wazi kabisa anaona aibu kupigiwa salute sijui ndio inferiority complex au ni her bad historical background!
Watajua wenyewe bhana.
FB_IMG_1533328085184.jpg
 
Nchi ishazama hii, kumpa mtu uongozi kwa sifa ya kumsifia mgawa uongozi ni hatari sana. Uongozi ni knowledge ni exposure ya masuala muhimu ya nchi, uongozi si kusifia suti au kiatu cha rais wa nchi.
 
Tumeshazama sijui tutatokaje hiki choo cha kike
 
Hatukatai kuteuliwa kwa watu maarufu wa mitandaoni ila tunajiuliza yakuwa je wale watumishi bora siku hizi hawana umuhimu tena?

Ukiangalia teuzi nyingi za awamu hii ya tano mh raisi amejikita zaidi kuwateuwa watu maarufu mitandaoni!
Hatukatai huenda wakawa watumishi na watendaji wazuri watakaomwakilisha ktk nafasi mbali mbali alizowapa ila najiuliza tu yakuwa ule morali wa wale watumishi waliokuwa wakifanya kazi kwa nguvu zote ili wawe promoted kama wakurugenzi, maafisa ktk idara mbali mbali na hata ukuu wa wilaya na mikoa hatuoni kama unapotea?
Kama taifa tunapaswa kuwa na dira ambayo kila raisi atakayeingia anapaswa kuifata na si raisi awe dira kisha taifa limfate.
Kwa sasa imekuwa ni fursa ya mtu yeyote maarufu esp mitandaoni kumsifu mtukufu na kupata cheo hivyo sio lazima tena ya mtumishi kuwa bora kazini wakati wenzao wapo kwenye ubora mitandaoni na wanarusha tu fagio kwa mh na kula shavu
This is Tz.

Kwa mfano Jokete hapo anacheka nini?
Yani ni wazi kabisa anaona aibu kupigiwa salute sijui ndio inferiority complex au ni her bad historical background!
Watajua wenyewe bhana.View attachment 826348

Ukiondoa Jokate ni yupi mwingine? Henri nitajie 3 tu halafu taja pia na Maprofesa ambao pia wameteuliwa!
 
KWA MAPROFESA NAFIKIRI WANGEBAKI ZAIDI KUFUNDISHA NA KUFANYA TAFITI ZAIDI KULIKO VYEO VYA UTEUZI AMBAVYO WAKATI MWINGINE HAVIENDANI NA TAALUMA AU UBOBEVU WA FANI ZAO i.e kitila mkumbo
 
Back
Top Bottom