Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Hatukatai kuteuliwa kwa watu maarufu wa mitandaoni ila tunajiuliza yakuwa je wale watumishi bora siku hizi hawana umuhimu tena?
Ukiangalia teuzi nyingi za awamu hii ya tano mh raisi amejikita zaidi kuwateuwa watu maarufu mitandaoni!
Hatukatai huenda wakawa watumishi na watendaji wazuri watakaomwakilisha ktk nafasi mbali mbali alizowapa ila najiuliza tu yakuwa ule morali wa wale watumishi waliokuwa wakifanya kazi kwa nguvu zote ili wawe promoted kama wakurugenzi, maafisa ktk idara mbali mbali na hata ukuu wa wilaya na mikoa hatuoni kama unapotea?
Kama taifa tunapaswa kuwa na dira ambayo kila raisi atakayeingia anapaswa kuifata na si raisi awe dira kisha taifa limfate.
Kwa sasa imekuwa ni fursa ya mtu yeyote maarufu esp mitandaoni kumsifu mtukufu na kupata cheo hivyo sio lazima tena ya mtumishi kuwa bora kazini wakati wenzao wapo kwenye ubora mitandaoni na wanarusha tu fagio kwa mh na kula shavu
This is Tz.
Kwa mfano Jokete hapo anacheka nini?
Yani ni wazi kabisa anaona aibu kupigiwa salute sijui ndio inferiority complex au ni her bad historical background!
Watajua wenyewe bhana.