PostGE2025 Uteuzi wa Wanu na Mchengerwa katika baraza la mawaziri wajadiliwa kimataifa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Uteuzi wa mtoto na mkwe wa Rais Samia Suluhu Hassan katika baraza jipya la Mawaziri, umezua gumzo na maswali mengi.

Ingawa Rais Samia si rais wa kwanza au pekee – barani Afrika au hata kwingineko duniani kuchagua mtoto au ndugu wa karibu katika utumishi wa juu wa serikali

Je Viongozi kuteua wanafamilia kuna maana gani?

Pia Soma: Rais Samia amteua Binti yake Wanu Hafidh, kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu
 
Hiyo familia nayo vituko, easy way kupoza joto huyo binti angemshauri mama usinichague maana tayari vumbi lipo juu, mbona Wana maisha tayari, nini wanataka zaidi?
 
Uteuzi wa mtoto na mkwe wa Rais Samia Suluhu Hassan katika baraza jipya la Mawaziri, umezua gumzo na maswali mengi.

Ingawa Rais Samia si rais wa kwanza au pekee – barani Afrika au hata kwingineko duniani kuchagua mtoto au ndugu wa karibu katika utumishi wa juu wa serikali

Je Viongozi kuteua wanafamilia kuna maana gani?

Pia Soma: Rais Samia amteua Binti yake Wanu Hafidh, kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu
Muwe mnawaambia hao waandishi wa nje kuwa mchengerwa alikua waziri kabla
 
Back
Top Bottom