Muwe mnawaambia hao waandishi wa nje kuwa mchengerwa alikua waziri kablaUteuzi wa mtoto na mkwe wa Rais Samia Suluhu Hassan katika baraza jipya la Mawaziri, umezua gumzo na maswali mengi.
Ingawa Rais Samia si rais wa kwanza au pekee – barani Afrika au hata kwingineko duniani kuchagua mtoto au ndugu wa karibu katika utumishi wa juu wa serikali
Je Viongozi kuteua wanafamilia kuna maana gani?
Pia Soma: Rais Samia amteua Binti yake Wanu Hafidh, kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Elimu