Tetesi: Uteuzi wakuu wa Wilaya; Rais Magufuli achukua vijana lukuki

Ajol

Senior Member
Joined
Dec 22, 2015
Posts
140
Reaction score
75
Sasa ni wazi Rais Magufuli kaamua kufanya kazi na kuwapa vijana kipaumbele. Katika orodha inayotarajiwa kutajwa mwanzoni mwa wiki ijayo, kajaza vijana wengi wapya na kupiga chini wanaoshikilia nafasi hizo..... Miongozi mwa vijana hao ni.......

1. Salum Hapi
2. Mtela Mwampamba
3. Kimeta Mpui
4. Saul Mwaisenyi
5. Humphrey Pole Pole
6. Kunambi
7. Shaka H. Shaka
8. Shimbi Angelo
9. Haji Ngura
10. Sara Msafiri
11. Emmanuel Fute
12. Kasera Peter
13. Kangwila Reuben
14. Julius Mungure
15. Miraji Mtaturu
16. Chris Mauki
17. Fatuma Ally
19. Ezekiel Kimwaga
20. Eng. Robert Washija
21. Kipi Warioba

NB:.... Hawa ni miongoni, kama nilivyopata tetesi.... Next week kila kitu wazi...!
 
Bodi ya mikopo ianze na hawa hawa watoto..
 
Ni sura ya ukomavu tu lakini bado ni kijana. Kwani kijana hasa kwa mwanaume mwisho miaka mingapi?
Wastani wa umri wa mtanzania kuishi ni miaka mipangi?
Jiulize polepole atakua kundi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…