njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,144
- 6,942
le mutuz wapi.
swissme
kwani ni Kijana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
le mutuz wapi.
swissme
Unataka kuwachafulia tu wenzako.Sasa ni wazi Rais Magufuli kaamua kufanya kazi na kuwapa vijana kipaumbele. Katika orodha inayotarajiwa kutajwa mwanzoni mwa wiki ijayo, kajaza vijana wengi wapya na kupiga chini wanaoshikilia nafasi hizo..... Miongozi mwa vijana hao ni.......
1. Salum Hapi
2. Mtela Mwampamba
3. Kimeta Mpui
4. Saul Mwaisenyi
5. Humphrey Pole Pole
6. Kunambi
7. Shaka H. Shaka
8. Shimbi Angelo
9. Haji Ngura
10. Sara Msafiri
11. Emmanuel Fute
12. Kasera Peter
13. Kangwila Reuben
14. Julius Mungure
15. Miraji Mtaturu
16. Chris Mauki
17. Fatuma Ally
19. Ezekiel Kimwaga
20. Eng. Robert Washija
21. Kipi Warioba
NB:.... Hawa ni miongoni, kama nilivyopata tetesi.... Next week kila kitu wazi...!
atakuwa baloziPole pole mtu wa makamo, siyo kijana
Sasa ni wazi Rais Magufuli kaamua kufanya kazi na kuwapa vijana kipaumbele. Katika orodha inayotarajiwa kutajwa mwanzoni mwa wiki ijayo, kajaza vijana wengi wapya na kupiga chini wanaoshikilia nafasi hizo..... Miongozi mwa vijana hao ni.......
1. Salum Hapi
2. Mtela Mwampamba
3. Kimeta Mpui
4. Saul Mwaisenyi
5. Humphrey Pole Pole
6. Kunambi
7. Shaka H. Shaka
8. Shimbi Angelo
9. Haji Ngura
10. Sara Msafiri
11. Emmanuel Fute
12. Kasera Peter
13. Kangwila Reuben
14. Julius Mungure
15. Miraji Mtaturu
16. Chris Mauki
17. Fatuma Ally
19. Ezekiel Kimwaga
20. Eng. Robert Washija
21. Kipi Warioba
NB:.... Hawa ni miongoni, kama nilivyopata tetesi.... Next week kila kitu wazi...!
Ni sura ya ukomavu tu lakini bado ni kijana. Kwani kijana hasa kwa mwanaume mwisho miaka mingapi?
Le Mutuz ni jumuiya ya Wazazi ...................!!le mutuz wapi.
swissme
Hata mie nimewaza sana akipewa Kinondoni itakuwa babkubwa..le mutuz wapi.
swissme
Makonda kafungua njia nae watu walimkejeli sana ila aliweza sana tu.Chonde chonde Dr Majipu usimsahau LeMutuz.
35Ni sura ya ukomavu tu lakini bado ni kijana. Kwani kijana hasa kwa mwanaume mwisho miaka mingapi?
Hahahaha kwa kuwa haumo nini?.... Pole sana.... Subiri 2020...Mjinga Mjinga anaweza amini hyo list ya kupikwa
Kwa nini anamkosea adabu hivo..?Pole pole mtu wa makamo, siyo kijana
Mi nimo nyuma ya karatasiHahahaha kwa kuwa haumo nini?.... Pole sana.... Subiri 2020...
Yule bado ni bwana mdogo sema tu ugumu wa maisha na utapia mloHahahaha bado kijana yule kaka....