Uteuzi wakuu wa wilaya!

Sioni haja ya wastaafu kurudi kazini...akili zimeshachoka...tunataka fresh minds..vijana weny uwezo mkubwa wa kupambanua mambo
 
[QUOThojaAHANJU, post: 16199557, member: 243059"]Vijana wengi kwa nchi zilizoendelea hupelekwa jeshini, hawa wa kwetu waende site kule kulima pamba na tumbaku badala kukalia matamko ya ovyo ovyo na kujipendekeza.[/QUOTE]
Kama hoja ni hiyo basi utaratibu awe hivi.
1/Wawapandishe vyeo makatibu kata, Tarafa, Wakurugenzi, Wakuu wa idara katika wilaya na kuja kuwa wakuu wa wilaya AU

2/Ziwe nafasi za kuajiriwa, ziwekwe sifa, watu watume maombi yao katika wilaya husika, Usaili ufanyike, Majina yapendekezwe kwa rais na ateue kutoka miongoni mwa Waombaji waliopendekezwa.
 
Jambo moja ambalo nimelifikiria sana ni kwamba pamoja na kufahamu DC huyu au yule amefanya nini,tunapaswa kujua DC kazi yake ni nini hasa. Ni mkuu wa Kamati ya Ulinzi na Usalama;kazi zake zote ni zipi? RC kazi yake ni nini? Mkurugenzi ni nani,anafanya kazi gani? Yaani ukiambiwa,Andrew,utakuwa DC kwa siku mbili,kazi yako yako itakuwa nini?
 
nchi hii inawasomi wengi wastaafu wa nn kila siku mnalalamika ajira vyuo vikiuu vinaongezeka leo unazungumzia habari ya wastaafu?
 
Its a political position, not a technical national security position. The district commissioner is there to quide the implementation of the national security agenda of the political party.
Sasa national security makonda anaijua vipi ukilinganisha na sirro na mwenzake wa tiss? Namaanisha RSO wa dsm?

Huoni kama ni makosa kwa kijana mdogo makonda kumwamuru RSO au RPC wa dsm?

Udhaifu huo ndio unapelekea kijana mdogo kama Mongela wa mwanza kuona yeye ni kidume pale mwanza huku rpc, rso, uhamiaji na wajumbe wengine kuonekana ni majike kitu ambacho siyo sawa.

Maeneo ambayo yanaongozwa na wastaafu wa jwtz, polisi, tiss changamoto za kiulinzi huwezi wadanganya wanafaham kila kitu.
 
Nadhani utakuwa na akili za panzi kusahau.CHADEMA leo inaongozwa na wastaafu na walifukuzwa kwani hapo ufipani hamna mtu.Nilishawahi kuonya mtu aliyeshika ufahamu wa BAVICHA hajabakiza hata akili ya kuvukia barabara,amewaachia akili ya kupanulia vidole tu.
 
Yaani we unazani mkuu wa wilaya anafanya kazi za ulinzi na usalama basiii
 
wazo bovu kabisa ,
ata uko jeshini wapo wabovu wengi tu tena wasio wazalendo .
 

mleta mada ana shida ya kuangalia mambo kwa upana wake,,yaani yeye kinachokuja kichwani anakichukulia hivyohivyo hata bila kutafakari
 

basi tufanye ata rais wetu awe mwanajeshi /askari
 
Huu ni mtazamo wako! Lakini jukumu la mkuu wa wilaya sio mwenyekiti wa kamati ya ulinzi pekee. Isitoshe hapo kinachohitajika ni leadership & management skills na sio jinsi ya kupiga kwata au kuamsha bunduki!
Nimepata kuwafahamu wakuu wa wilaya kama 6 hivi ambao ni wanajeshi wastaafu, hawa walikuwa viongozi wa hovyo kupindukia! Unataka hata kamishina mstaafu wa kanda maalumu ya Dar apewe ukuu wa wilaya au mkoa? Jambo pekee nzuri ni kuzifuta nafasi hizi kwani hazina tija.
 
Vijana wengi kwa nchi zilizoendelea hupelekwa jeshini, hawa wa kwetu waende site kule kulima pamba na tumbaku badala kukalia matamko ya ovyo ovyo na kujipendekeza.
Kama hoja ni jeshini wanastaafu wakiwa na umri mdogo hiyo ni hoja nyingine na yapelekwe mapendekezo ya kuangalia upya umri wa kustaafu jeshini; badala ya kumpa mtu kazi mara mbili wakati wengine wako mtaani, tena waliosemea management.

wale vijana 3,000 walioandamana mpaka kwa rais wameshapatiwa ajira?
 

Hivi unajua nini maana kustaafu au kwanini mtumishi akifikisha umri fulani let's say 60years lazima astaafu? Labda kama unapigia chapuo nafasi hiyo lakini kiukweli mstaafu abaki kuwa mshauri tu maana uDC wa leo siyo lelemama
 
Mleta mada utashambuliwa sana na vijana waliojitolea kuwa viburudisho, wabeba umbea, wabeba unafiki, kujipendekeza, kujitoa akili, kupamba kila kitu cha chama, kulamba miguu viongozi, nk ilimradi tu wapate nafasi zikiwemo uDC.
 
aliyestaafu amezeeka na amechoka. anapaswa apewe muda apumzike. Tusichanganye mambo. UDC inapaswa kuwa kazi kwa vijana. Kama kuna mapungufu wapewe/wapelekwe mafunzo - vyuo vya jeshi au polisi (CCP Moshi).
 
Kama ni hivyo yale majina 46 ya Jk itakuwaje ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…