ESCORT 1
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 1,412
- 3,043
Kaka Andrew naskia jina lako likitajwa kwenye UdcBasi Rais pia anapaswa kuwa mwanajeshi kwa mantiki hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka Andrew naskia jina lako likitajwa kwenye UdcBasi Rais pia anapaswa kuwa mwanajeshi kwa mantiki hiyo.
THERE YOU ARE!!!!!!
Sasa national security makonda anaijua vipi ukilinganisha na sirro na mwenzake wa tiss? Namaanisha RSO wa dsm?Its a political position, not a technical national security position. The district commissioner is there to quide the implementation of the national security agenda of the political party.
Nadhani utakuwa na akili za panzi kusahau.CHADEMA leo inaongozwa na wastaafu na walifukuzwa kwani hapo ufipani hamna mtu.Nilishawahi kuonya mtu aliyeshika ufahamu wa BAVICHA hajabakiza hata akili ya kuvukia barabara,amewaachia akili ya kupanulia vidole tu.Ndugu zangu wanaJF kuna kitu nakiona si kizuri hata kidogo, Hivi ni kwanini hiki cheo au nafasi hii ya utendaji ambayo kimsingi ni ya kiongozi wa ulinzi na usalama wa wilaya inashushwa hadhi kiasi hili, kwa sasa ni ukweli usiopingika ni kwamba vijana wengi wanaililia hii nafasi wakidhani ni sawa na utendaji wa mtaa!
Nishauri tu Mh Raisi kwa kuzingatia unyeti wa nafasi hii aangalie watu hawa wakati wa kuteua!Maana hawa watu hustaafu wakiwa bado ni nguvu kazi na uzoefu mkubwa kwa kuzingatia kua mkuu wa wilaya ndiye Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya.Hawa watumishi binafsi naona ni muhimu kwa nafasi hizo.
1. Maafisa wastaafu waadilifu wa JWTZ,
2.Maafisa wa wastaafu waadilifu wa Jeshi la polisi,
3.Maafisa wastaafu waadilifu wa usalama wa taifa,
4.Maafusa wastaafu waadilifu wa jeshi la uhamiaji.
5.Maafisa waandamizi wa taasisi kubwa za umma ambao ni makada wa chama.
6.Maafisa wastaafu wa Waadilifu Jeshi la Magereza.
Kwa sababu hizi nafasi zipo kwa mujibu wa katiba basi nina imani katika majeshi haya na taasisi za umma wapo makada watiifu wa chama,wapewe nafasi hizi kwa kuzingatia weledi wao na sio kuwabebesha vijana ambao hata mgambo hawakupitia ndio maana maamuzi yanakua mabovu na migogoro hasa ya kijamii haiishi.
Vijana wapewe mikopo wafundishwe elimu za kujitegemea wakazalishe taifa lisonge mbele, kama ni kulea au kuandaa viongozi wa baadae basi walelewe kwenye chipukizi za vyama na taasisi za vyama na sio kuwalelea kwenye ukuu wa wilaya.Hii pia itapunguza uvivu wa baadhi ya vijana kukaa vijiweni kuwaza nafasi hizi huku hawafanyi kazi.
Nadhani utakuwa na akili za panzi kusahau.CHADEMA leo inaongozwa na wastaafu na walifukuzwa kwani hapo ufipani hamna mtu.Nilishawahi kuonya mtu aliyeshika ufahamu wa BAVICHA hajabakiza hata akili ya kuvukia barabara,amewaachia akili ya kupanulia vidole tu.
Sasa national security makonda anaijua vipi ukilinganisha na sirro na mwenzake wa tiss? Namaanisha RSO wa dsm?
Huoni kama ni makosa kwa kijana mdogo makonda kumwamuru RSO au RPC wa dsm?
Udhaifu huo ndio unapelekea kijana mdogo kama Mongela wa mwanza kuona yeye ni kidume pale mwanza huku rpc, rso, uhamiaji na wajumbe wengine kuonekana ni majike kitu ambacho siyo sawa.
Maeneo ambayo yanaongozwa na wastaafu wa jwtz, polisi, tiss changamoto za kiulinzi huwezi wadanganya wanafaham kila kitu.
Vijana wengi kwa nchi zilizoendelea hupelekwa jeshini, hawa wa kwetu waende site kule kulima pamba na tumbaku badala kukalia matamko ya ovyo ovyo na kujipendekeza.
Kama hoja ni jeshini wanastaafu wakiwa na umri mdogo hiyo ni hoja nyingine na yapelekwe mapendekezo ya kuangalia upya umri wa kustaafu jeshini; badala ya kumpa mtu kazi mara mbili wakati wengine wako mtaani, tena waliosemea management.
Ndugu zangu wanaJF kuna kitu nakiona si kizuri hata kidogo, Hivi ni kwanini hiki cheo au nafasi hii ya utendaji ambayo kimsingi ni ya kiongozi wa ulinzi na usalama wa wilaya inashushwa hadhi kiasi hili, kwa sasa ni ukweli usiopingika ni kwamba vijana wengi wanaililia hii nafasi wakidhani ni sawa na utendaji wa mtaa!
Nishauri tu Mh Raisi kwa kuzingatia unyeti wa nafasi hii aangalie watu hawa wakati wa kuteua!Maana hawa watu hustaafu wakiwa bado ni nguvu kazi na uzoefu mkubwa kwa kuzingatia kua mkuu wa wilaya ndiye Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya.Hawa watumishi binafsi naona ni muhimu kwa nafasi hizo.
1. Maafisa wastaafu waadilifu wa JWTZ,
2.Maafisa wa wastaafu waadilifu wa Jeshi la polisi,
3.Maafisa wastaafu waadilifu wa usalama wa taifa,
4.Maafusa wastaafu waadilifu wa jeshi la uhamiaji.
5.Maafisa waandamizi wa taasisi kubwa za umma ambao ni makada wa chama.
6.Maafisa wastaafu wa Waadilifu Jeshi la Magereza.
Kwa sababu hizi nafasi zipo kwa mujibu wa katiba basi nina imani katika majeshi haya na taasisi za umma wapo makada watiifu wa chama,wapewe nafasi hizi kwa kuzingatia weledi wao na sio kuwabebesha vijana ambao hata mgambo hawakupitia ndio maana maamuzi yanakua mabovu na migogoro hasa ya kijamii haiishi.
Vijana wapewe mikopo wafundishwe elimu za kujitegemea wakazalishe taifa lisonge mbele, kama ni kulea au kuandaa viongozi wa baadae basi walelewe kwenye chipukizi za vyama na taasisi za vyama na sio kuwalelea kwenye ukuu wa wilaya.Hii pia itapunguza uvivu wa baadhi ya vijana kukaa vijiweni kuwaza nafasi hizi huku hawafanyi kazi.
Kama ni hivyo yale majina 46 ya Jk itakuwaje ?Ndugu zangu wanaJF kuna kitu nakiona si kizuri hata kidogo, Hivi ni kwanini hiki cheo au nafasi hii ya utendaji ambayo kimsingi ni ya kiongozi wa ulinzi na usalama wa wilaya inashushwa hadhi kiasi hili, kwa sasa ni ukweli usiopingika ni kwamba vijana wengi wanaililia hii nafasi wakidhani ni sawa na utendaji wa mtaa!