Kama nakera don't you have another place rather than being here? Don't be stupid and stupidities
Young Kibaka nakuona mkuu..
ndo nn maana yake? umenfagilia? sijui kizungu mimi.
Young Kibaka nakuona mkuu..
Kila kona yupo huyo jamaa cjui ana hisa JF
hahahahaha,hapana mkuu jamaa anajaribu kuwatuliza munkari..
unataka kusema hizo zitakazotoka kesho zitakuwa tofauti na zile za awali? Je zile za awali zilitolewa na nani? Napenda kufahamishwa ili nijue zaidi.
Nawasilisha
hawatakagi kukubali kwamba walikosa nafasi ud,ardhi na mzumbe,,,,,vilaza kweli.