hahahaha me nmekwelewa mkuumnakeraaaaaaaaaa. hizo nyeusi newcastle na bluu ni man city. mechi hyo angalia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha me nmekwelewa mkuumnakeraaaaaaaaaa. hizo nyeusi newcastle na bluu ni man city. mechi hyo angalia
Wow Mambo tayar yameshaiva tcu
acha kutumia masaburiAngalieni tcu mambo tayari
Hizo za blue yani unavigezo katika chaguo hilo lakini kama kuna nyeusi maana yake hauna vigezo katika chaguo husika.
Kwan lazima uingie kwny jukwaa hili la edu, we ukiona unaboreka ingia hata kwny page ya udaku huko mc2letee mambo ya kiboya humu,,,ndo maana ikaitwa jukuwaa la elimu
Yaaan hivi vitoto vya form six ni shydah kila mtu tcu ooh tcu kidogo tcu mbona watoto wezenu wa nacte wametulia nyinyi tuu kidogo tcu ooh tcu sjui nn na kesho kutwa utaskia heslb sjui jaman heslb wakati ni kawaida kila mtu chuo atapata hata km si chaguo lako kibaya ni mkopo mnaboa kwakweli
kweli hii ndio Tz
aloo,,sikusikii vizuri hebu nipigie baadae kidogo