Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Status
Not open for further replies.
dah!majamaa hawajielew kwel ultaka jukwa la elimu 2zungumzie mambo ya akna zitto kabwe{siasa}dah we kwel kohhollo.kama hun habar tcu n top story kwa xaxa nyauba w kike weee
 
Kwan lazima uingie kwny jukwaa hili la edu, we ukiona unaboreka ingia hata kwny page ya udaku huko mc2letee mambo ya kiboya humu,,,ndo maana ikaitwa jukuwaa la elimu
Na usijione wewe pekee ndo umesoma kuliko hao form 6 unaowa-diss, wapo kibao tena isitoshe hata elimu wanakuzid lakin wamekaa kimya! usione watu wapo kimya bhana, kama inakukera wee ipotezee

hii miduara mwachieni shilole
 
Hahahahaha,hata wao pia waambie siku njema
 
nimegundua watu wengi wanareply hii topic kivingine sababu hawajui2 TCU ni kitu gani! jamani mnamponda jumanne TCU ni Tanzania commission for universities na sio vinginevyo
 
xaxa lengo lako nn mpaka unawaombea mabaya madogo et wakoxe mkopo.unataka ukaxome ww hvyo vyuo? au ulitaka wazungumzie mada gan kwenye hl jukwaa.au umepost k2 hawajachangia.ukiona wamepost k2 hakikuhuxu temana nacho ingia hta jukwaa la xheria au udaku kama ndo unakufaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom