Baba Genovivah
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 756
- 249
We punga inazingua, unafkl tupo na dada ako hpa
unaota mkuu.
mbona hata link yenyewe ni magumashi haifunguki
ila me mbona inafungua fresh, ila selected hakuna
samahanini wakuu nilikosea kidogo ni ii hapa
www.cas.tcu.go.tz/2/selected_applicants
samahanini wakuu nilikosea kidogo ni ii hapa
www.cas.tcu.go.tz/2/selected_applicants
we uliefungua hii link ulitumia device gan au redio
click here>>>>
http://www.cas.tcu.go.tz/2/selected_applicants
tayaaaaaaaari!!!
Acha zako Bana Web fake
Ha2pend kutukana bhana,,mbona unataka kutukanwa
dah....nlikua sitegemei kabisa kuchaguliwa TEKU...nliijaza tu..
kwa anaepajua vizuri anisaidie