Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Status
Not open for further replies.
hawa watu walitangaza kuachia majina tar22 lakini mpaka muda huu naangalia jina nijue kama ndugu yangu kapata au kakosa bado kimyaaaa? hivi nyie tcu mnajua kama tunahitajika kuwaandalia hela kwa ajili ya masomo kwa hiyo ni muhimu kufahamu mapema?Tanzania mpaka inasikitisha, ninachoshangaa imetumika technologia ya mtandaoni kujisajili sasa si bora wangeacha kama enzi zetu unaapply moja kwa moja chuo husika?
MNABOA SANA KAMA VILE HAMJUI PESA ZINAHITAJI MATUMIZI NA MIPANGO?

TUNAWASUBIRI kwa HAMU XANA.
 
Du,wape pole hao masela,ila kama maksi zao zilikuwa ya ufaulu wa chini basi ni uzembe wao wa kushindwa kusoma alama za nyakati!
 
we ndo kalagha bawooooo


....yani ukizubaa admission mwaka uu kwako utaisikia ileee inapepea ...
unajaza kozi zaushindan bilá kuangalia mbele .. ushauri wasiliana na tcu

angekua kakosa zote jina lake lingetokea second round selection kuna uwezekano wa kupata mmoja ndo maana hajatupwa second round selection
 
duuu ila kweli vijana wamepanik hawalali wala kufanya kazi kila wakati tcu kwa hali hii vijana wengi watenda mirembe jaman tcu wakoen vijana hawa tangazen bas post mtu ajue kaula au anaenda shamba.
 
Mshikaji wangu matokeo yalipo leak alipewa DUCE ,lakn kwenye profile yake rangi ya bluu ndo imetawala kwa kila chuo until now!
 
TCU.png
 
Acha swaga,jaribuni kuwa mnashirikisha serikali ya kichwa kwenye upembuzi wa mambo kwan mie naona kama post nyingine n uchwara!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom