Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Status
Not open for further replies.
nimeangalia facebook wameandika majina yatatoka tarehe 25 hivyo tupunguze munkari itafika tu
 
Yaani mtu umeomba education bado unasumbua kwenye mitandao eti unawaza selection kama utakuwa selected acheni kusumbua kama wakitoa c utaonaa we ulikubali tareh 22 zitatoka walikwambia mda kwani hadi sa tano na dkka 59 ucku bado ni tareh 22 so we vumilia
 
Kwan mtu ukiomba education ndo huruhusiwi kuongea chochote.duuuu jmn hbu tujithd kurelate haya mambo kwa uchanganuz
 
hatuwez fika kwa hali na mwendo huu...tcu jipangeni...hampo serious...n not civilized
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom