Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Status
Not open for further replies.
Vip wadau tcu imetema??????????????????/ waliahidi leo mie tangu asubuhi nahangaika na mtandao sjaona kitu
 
Hicho ndicho ambacho tunaweza kusema hakuna lugha nyingine..haya ndio mambo ya Tanzania hakuna jambo linalofanyika kwa uhakika ni kubahatisha tuu. Leo huwezi kuniambia eti Software ya organization kubwa kama TCU inashindwa kutambu swala la majina kujirudia(REDUNDANCY)mapema. Watu wamekaa mda mrefu kusubiri selection leo mnasema eti mnarekebisha majina ya watu yaliojirudia hii ni aibu na kashfa kubwa na inapasa watu wajiuzulu. Maskini Tanzania inazma kwa uzembe wa watu wachache tuuu. RIP TANZANIA.
 

wanaboa kama bunge la katiba
 
Salaam... Nina mdogo wangu mpaka sasa hajajua kama amechaguliwa chuo au la. Hii ni kwa mujibu wa majina yaliyopostiwa hivi karibuni humu mtandaoni. Yeye aliomba SUA, UDSM na UDOM na katika cas status yake imeandikwa "YOUR SELECTED" Ila katika hivyo vyuo jina lake halipo?? Plz mwenye ufafanuzi maana TCU walisema watoa majina leo 22/9/2014 lakini niko hapa mtandaoni sioni kitu. naomba msaada wenu wadau.
 

Bado selection hazijatokA kuna tatizo lilijitokeza la baadhi ya wanafunzi kuwa admitted kwenye multiple universities sasa ndo wanalishughulikia
Nadhani kesho au kesho kutwa kitu kitakuwa okay.
 
hahaa kwel hii ndo jf never boaring, toka asubh watu wamejaa mawenge,kila ukiona uzi mara tcu inawatakia usiku mwema,mara tcu hyo apo duuuuh
 
nashukuru kwa taarifa, ila zile selection zilizotoka zilitoka wapi?? a they official?? au kuna watu wamezitengeneza?
 
ivi kwnn mnapnda kudharau education,kwaiy kam ukchaguliw edctn n radhi kukaa na kuxubiri matokeo mpaka cku ambyo chuo hucka knafngua!dah hebu badlken mcpend kutaja k2 moj kw moja n hatar xana,
 
Zile ni za ukweli sema zili leak tu without official release ...but ni za ukweli kabisa. .
 
Umemuona MBWA wa kisukuma huyo kafyata mkia!anajua kila muda ni wa utani!fackit male bitch.
 
Sasa hapo ndio Napata wasiwasi kama ni za ukweli mbona huyu dogo kaandikiwa YOUR SELECTED halafu kwenye hiyo iliyoliki hayupo?? je kuna uwezekano hiyo mpya watakayotoa iwe na jina lake??
 
Wambie nao pia ww na usiku mwema wenye njozi njema na pia tunashukuru kwa yote waliotutendelea Leo waendelee na moyo kama huo na waturidishe jkt tu
 
nani alaumiwe?

mleta uzi au tcu/ nacte kukanganya watu
 
Jamani tunaiomba serikali irudishe mifumo ya hardcopy tumechoka kuumizwa na mifumo ya kimodeni ambayo hatujaimudu(softcopy),TCU,NACTE HAKUNA KITU HAPA NI UBABAISHAJI TU,WANATUNYANYASA WASOMI.TCU NDIO INAMAMLAKA YA SELECTION LEO HII VYUO TENA VINADAHILI DU!KALI.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…