Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Status
Not open for further replies.
Wambie nao pia ww na usiku mwema wenye njozi njema na pia tunashukuru kwa yote waliotutendelea Leo waendelee na moyo kama huo na waturidishe jkt tu

kwel kabsa muraa... wanadhan hela znaokotwa
 
kwasasa zile choice za kwanza ukiangalia zimetoka imebaki 2nd,3rd,4th na 5th ukiona hivo basi umechaguliwa kwenye chuo husika.
taarifa.
 

acha dharau!kwani tatizo eduction au muda?fikiria kabla ya kupost au kucoment k2!cku nyngne utatiwa bonge tusi.aghrrrrrrrr'
 
Kwa muda huu mtandao wa TCU umesitisha huduma za kuangalia chochote hata ku-log in. Inaonekana kuna kitu kiko jikoni kinapikwa na bada ya sekunde kadhaa kinapakuliwa rasmi.
Hivyo wadau wote mkae mkao wa standby...yaani enyewe wanasema standby mode!
Ila poleni kwa kusaubiia toka asubuhi bila kuona hochote ingawa muda si mrefu kiu yenu itajibiwa sekunde chache zijazo.
 
jamani mkitembelea nacte.go.tz mtaona choice ya kwanza haionekani tena na zingine "check in progress" ebu angalieni.mdogo wangu kakosa na raha kabisa
 
Mbona dakika hii hii nime log in kwenye my profile na imekubali fresh
 

mkuu mbona unakuwa muongo muongo?nilifanya application kwa ajili ya bwana mdogo na mpaka muda huu nimelog in kuchek status.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…