Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Status
Not open for further replies.
kwasasa zile choice za kwanza ukiangalia zimetoka imebaki 2nd,3rd,4th na 5th ukiona hivo basi umechaguliwa kwenye chuo husika.
taarifa.
 
Yaani mtu umeomba education bado unasumbua kwenye mitandao eti unawaza selection kama utakuwa selected acheni kusumbua kama wakitoa c utaonaa we ulikubali tareh 22 zitatoka walikwambia mda kwani hadi sa tano na dkka 59 ucku bado ni tareh 22 so we vumilia

acha dharau!kwani tatizo eduction au muda?fikiria kabla ya kupost au kucoment k2!cku nyngne utatiwa bonge tusi.aghrrrrrrrr'
 
Kwa muda huu mtandao wa TCU umesitisha huduma za kuangalia chochote hata ku-log in. Inaonekana kuna kitu kiko jikoni kinapikwa na bada ya sekunde kadhaa kinapakuliwa rasmi.
Hivyo wadau wote mkae mkao wa standby...yaani enyewe wanasema standby mode!
Ila poleni kwa kusaubiia toka asubuhi bila kuona hochote ingawa muda si mrefu kiu yenu itajibiwa sekunde chache zijazo.
 
jamani mkitembelea nacte.go.tz mtaona choice ya kwanza haionekani tena na zingine "check in progress" ebu angalieni.mdogo wangu kakosa na raha kabisa
 
Mbona dakika hii hii nime log in kwenye my profile na imekubali fresh
 
Kwa muda huu mtandao wa TCU umesitisha huduma za kuangalia chochote hata ku-log in. Inaonekana kuna kitu kiko jikoni kinapikwa na bada ya sekunde kadhaa kinapakuliwa rasmi.
Hivyo wadau wote mkae mkao wa standby...yaani enyewe wanasema standby mode!
Ila poleni kwa kusaubiia toka asubuhi bila kuona hochote ingawa muda si mrefu kiu yenu itajibiwa sekunde chache zijazo.

mkuu mbona unakuwa muongo muongo?nilifanya application kwa ajili ya bwana mdogo na mpaka muda huu nimelog in kuchek status.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom