Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,545
Juma na uledi wameanza mambo yao!
Ndio hivyo, subirini muda si mrefu mtaona mambo...hizi ni taarifa kutoka jikoni!jamaa atakuwa kaishiwa bundle,hawez kutumia net anadhani tcu hawako hewani
Nani kawaababishia njaa?
chizi hakimbizwi.
Snipper ni kweli mkuu hata mimi kuna kajamaa kangu nakaangalizia hapa,,imekataa ku~log in....probably wanafanya mambo
iila mnanipa raha bora hali ibaki kuwa hivi vyuo visitangazwe mwendee na burudani
von hivi kulkua na umuhimu gani wa kuweka online applications wakati kuna watu wanapita milango ya nyuma na kupeleka fom kirahisi tuu? na ubaya unakuja ni kuwa wale walioomba online hawajui watapelekwa wapi na wale walioomba kwa kupeleka fomu wanajua wakichaguliwa ni chuo flani. dah hii game ya probability mbaya sana. wanafunzi leo wanahaha kwa uzembe wa watu wachache. ingekuwa ni jambo la msingi kama wale waliopeleka fomu vyuoni na kuomba direct wakapewa majibu yao kule kule walipopeleka fomu zao na si TCU. poleni ndugu na wadogo zangu.
Yaani kwa kweli hawa jamaa this time hawajajipanga vyema,bora hata miaka iliyopita walivyoanza..Bado HESLB nao wataanza kusumbua madogo wakishapata hizo posts.Mara fedha zicheleweshe vyuoni n.k
Poleni sana vijana sema msiogope mtapata selection mwisho wa siku
Kubaafu zao TCU!!