Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Status
Not open for further replies.
tcu sio isu mana umeshaandikiwa umechaguliwa,kimbembe mtoto wa mkulima na bodi ya mkopo
 
Ila si Kuna sehemu imeandikwa you have been selected? ??
 
Nani kawaababishia njaa?

Nani.......?Najua ungependa kuckia kuwa ni CCM, lkn mm ninafkiri ni nchi za magharibi, angalia nchi kama congo ina mali asili nzuri inawezekana kuliko nchi yoyote afrika lkn kwa nini haitawaliki.Hivi unafikiri wamarekani wanavyopenda sifa hawawezi kutusaidia kuchumi wetu ukuwe au mfumo wa elimu yetu uweze kutusaidia kujiajiri kuliko kutegemea kuajiriwa lkn mbona wanatusaidia NET..........lkn kwa upande mwingine mbona hawasifii viongozi kama gadafi lkn wananganganiza kila nchi ifuate mfumo wao wa siasa (demokrasia)na ubepari(capitalism).
 
Snipper ni kweli mkuu hata mimi kuna kajamaa kangu nakaangalizia hapa,,imekataa ku~log in....probably wanafanya mambo
 
Last edited by a moderator:
Snipper ni kweli mkuu hata mimi kuna kajamaa kangu nakaangalizia hapa,,imekataa ku~log in....probably wanafanya mambo

von hivi kulkua na umuhimu gani wa kuweka online applications wakati kuna watu wanapita milango ya nyuma na kupeleka fom kirahisi tuu? na ubaya unakuja ni kuwa wale walioomba online hawajui watapelekwa wapi na wale walioomba kwa kupeleka fomu wanajua wakichaguliwa ni chuo flani. dah hii game ya probability mbaya sana. wanafunzi leo wanahaha kwa uzembe wa watu wachache. ingekuwa ni jambo la msingi kama wale waliopeleka fomu vyuoni na kuomba direct wakapewa majibu yao kule kule walipopeleka fomu zao na si TCU. poleni ndugu na wadogo zangu.
 
Yaani kwa kweli hawa jamaa this time hawajajipanga vyema,bora hata miaka iliyopita walivyoanza..Bado HESLB nao wataanza kusumbua madogo wakishapata hizo posts.Mara fedha zicheleweshe vyuoni n.k
Poleni sana vijana sema msiogope mtapata selection mwisho wa siku
Kubaafu zao TCU!!
 
mimi nimelog in sasa ivi na nimefunguapage ya tcu na nacte zimefunguka bilatatizoo acha propagandaa
 
Yaani kwa kweli hawa jamaa this time hawajajipanga vyema,bora hata miaka iliyopita walivyoanza..Bado HESLB nao wataanza kusumbua madogo wakishapata hizo posts.Mara fedha zicheleweshe vyuoni n.k
Poleni sana vijana sema msiogope mtapata selection mwisho wa siku
Kubaafu zao TCU!!

najarib kufikiria itakuaje upande wa Heslb huku nikiangalia tcu ambao wamebugi step. yule msemaji wa TCU sjui ataongea kipi! inamaana mpaka wanaitisha joint admission comittee kwenye kikao sasa maana yake ni nini? na vile vyuo vilivotoa majina ina maana vipo accurate kuliko tcu? kwakwel maswali ni mengi sana
 
Hii nchi haitaki njia ya harari ona yule alie likisha post alikuwa bor kuliko hawa wanao taka njia za harali ndo mana watu wanaiba serikalin kumbe matatizo yao ndo hayaaaa daaa kweli nimeamini NJIA KUU FOLENI BORA MCHEPUKOOO
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom