Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Status
Not open for further replies.
subiri tokeo la saba likitoka nanyie mtatrend hamjasahaulika,,ila nataka nikukumbushe tu jf ni jukwaa huru sasa sijui we ni nani hadi ikukere....
 
Hivi nimeingia kwenye profile yangu TCU nimekita kuna baadhi ya faculties zinarangi nyeusi na nyingine blue mwenye uelewa tafadhali anijulishe
 
Kwa wale ambao hamkubahatika kuona, reliable sources zimenifahamisha kwamba kesho tcu wanatoa university admissions list for undergraduates 2014/2015.

unataka kusema hizo zitakazotoka kesho zitakuwa tofauti na zile za awali? Je zile za awali zilitolewa na nani?

Napenda kufahamishwa ili nijue zaidi.

Nawasilisha.
 
mnakeraaaaaaaaaa. hizo nyeusi newcastle na bluu ni man city. mechi hyo angalia
 
Nenda kalale bwana mdogo simmeshaambiwa kesho sasa pressure ya nini
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…